Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 641
Nadhani mpaka tulipofikia tunahitaji chama kingine cha mapinduzi kitakachopindua hiki chama cha mafisadi. Inauma sana unapoona mambo kama haya yakifanyika ndani ya nchi yetu wenyewe tena yakifanywa na ndugu zetu wakishirikiana na vibaraka wa nje. Hivi kweli hawa watu hawamuogopi MUNGU kweli?? Halafu ndo hao utawasikia kukiwa na matukio ya kuchangisha fedha makanisani au misikitini basi wao ndo wanajifanya kuwa watoaji wakubwa. Kana kwamba wanamuhonga MUNGU hiyo michango yao kumbe ni kujifanya ni waswalihina wakati ni ma-FIRAUNI wa kutupa! SHAME ON THEM!
Natamani yatokee mapinduzi Tanzania, naam ntashiriki kwa bidii zote kuwachapa mbakora hawa mabiradhuli wanaoinyonya nchi yetu iliyojaa maziwa na asali! Nasema Ole wenu mafisadi!!
Natamani yatokee mapinduzi Tanzania, naam ntashiriki kwa bidii zote kuwachapa mbakora hawa mabiradhuli wanaoinyonya nchi yetu iliyojaa maziwa na asali! Nasema Ole wenu mafisadi!!