jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Wengi waliokuwa wakifuatilia visa vya Libya mtagunduwa kuwa wengi wetu tulikuwa na misimamo yatofauti kuhusiana na vita hivyo huko Libya vya kumwondoa kanali Gaddafi ambayealikuwa kiongozi wa Jamahiriya chini ya chama maarufu kama "green party."
Binafsi sikupendelea kuanza kwa vita hivyo.Sababu ni nyingi ikiwemo upotevu wa maisha ya wasiokuwa na hatia hususan kina mama na watoto.
Na pia niliamini kuwa havikuwa na sababu.However walibya wenyewe hawakuamini hivyo.Ni wazi kuna migawanyiko ya kikabila.
Hivyo upande wa kina Gaddafi na makabila yaliyokuwa yakimpa sapoti ukazidiwa na makabila yaliyopata msaada wa NATO.
And so they did what they think it is right for their country,thats what they needed.They know their country better than i do.
Hata kama analysis yangu ita conclude kuwa ni makosa.Bado haitabadili ile fact kuwa "thats what they want" And "they" means the Libyans.Kwamba what they want is aligned to what NATO wants/mission?hiyo si topic kwasasa.
Swali kubwa hapa ni kama watawala wetu wamesoma alama za nyakati na kujifunza ama wataweka pamba masikoni kama kawaida.I dont think they wanna do that!
Sitaki kusema mengi,hiyo ni Libya yao,na ni only Libyans should decide on thow he future of their country should look like.
Ila sisi tuna haki yaku analyse situation base on how we perceive it.And in the best of our knowledge on the subject matter.
And we do have different perspectives.
Ninachofanya hapa ni kutoa ushauri kwa watawala ama viongoziwetu.Kwamba cha msingi ni kuwasikiliza wananchi.
Ndivyo dunia ya sasa ilivyo.Viongozi wetu mnajuwa kabisa kuwa dunia imebadilika lakini mnajisahau,na kwamba sasa kile jamii inachokitaka kwa wakati huu,itakidai kwa nguvu zote,haijalishi kama wewe utaona kama hakiwafai.
Nyakati hizi si zile za kuchaguliwa na viongozi mustakabali wa Taifa.Hizi ni zama mpya za nguvu ya umma.Muwe makini watawala na msome alama za nyakati!
Tulibishana sana humu kwamba walibya wana maisha mazuri sana,tena hata hawana deni,hawadaiwi.Lakini umma wao una mawazo ya tofauti ma unataka ya tofauti?
Tunajuwa jinsi utawala wa Gaddafi ulivyoijenga Libya na kuwa nchi yenye kutamaniwa hata na mataifa makubwa.Kweli mzeee wa watu alizisimamia rasilimali za Taifa lile vyema.
Lakini nimegunduwa kuwa jamii nyingi zenye utajiri wa mafuta especially za waarabu,utajiri huo si big deal kwenye madai ya wananchi.
Wanajuwakuwa upo,wana confidence na utajiri wao,inaonekana hawaamini utaisha karibuni na hivyo wanachojali hao ni demokrasia ya kufanya wanayoyataka na kusema wanayoyataka pia kubadili viongozi wao kwa kadiri wanavyoona inafaa.
Ukingalia kwa upande wetu sisi ni tofauti kabisa.Tunapigakura kila mara kuchagua viongozi tunaowataka.Sasa hivi wanatuacha tunaongea sana kama tunavyotaka tulakini maendeleo hawatupi.
Kwa hiyo utaona sisi tunataka maendeleo lakinihatusikilizwi.
Nimegunduwa licha ya kwamba situation za mataifa yetu ni zatofauti,bado jambo moja ni la kweli,kwamba bottom line of it ni kuwasikilizawananchi.....And give them what they want.
Tatizo la viongozi wa Afrika na kwingineko nikutokuwasikiliza wananchi.Gaddafi angetayarisha mazingira ya kuachia madaraka kwa kuwatayarisha viongozi wazalendo.
Basi angekuwa amewasikilza wananchi ambao kwa wana amini kuwa makabila mengine pia yanaweza kutawala given that wanachaguliwa kidemokrasia!
Hapo ndipo alipoharibu kwa kuwaweka wanawe mbele tu ili waje kurithi.Ni kosa kubwa licha ya kwamba nia yake kwa Libya ni njema.
Hakujifunza na wala kusoma alama za nyakati.Na ndichokinachoendelea nchini mwetu.Kwa kutokuwasikiliza wananchi,viongozi wetu hawazisomi alama za nyakati.
Wanaweza wakawa wanazitumikia interest ambazo si zawananchi kwasasa na wakajiona kama wako salama kutokana na kuhakishiwa usalama huo na hao wenye interests.
However historia itawahukumu kwa tofauti.Na hili nikwasababu interest hizo si za wananchi.Na kwasababu wako madarakani.
Basi wanatumia nguvu hizo za madaraka walizopewa na wananchi vibaya.
Siku wananchi wakiamuwa,hao wanaowatumikia wata dandia bandwagon ya wananchi,halafu wanajipanga upya.Si wajinga,they are around and they will always be around."The devil will always be on our shoulder."
Ushauri wangu kwa viongozi wetu ni kwamba,hakuna kitu kibaya kama kuchukiwa kwa kiasi kikubwa na wananchi.Na ni mbaya zaidi kama wakikata tamaa na kuwa desparate!
Kuna utaratibu ambao umeonekana kwa viongozi wetu ambapo wanaonekana kama hawayatumikii maslahi ya wananchi hata kidogo.
Je, watanzania wanataka viongozi wao wazisimamie rasilimali zetu na kufanya kama alichokifanya Gaddafi kwa walibya kwa upande wa maendeleo nawalibya wanataka alichokifanya JK kwa watanzania kwenye upande wa uhuru wa habari na mengineyo yenye kuendana na "Demokrasia"?
Bottomline la kujifunza ni "Give the people what they want"And you will be safe! Ukijidai kuingiza ulufundi wako utaumbuka!