A kid will see dolphins, an adult will see sex!!!!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Je, wewe umeanza kwa kuona nini??? Je, haijakuchukua muda kuwa spot Dolphins?? ukiona hivyo ujue mind yako ipo corrupted, unawaza mapenzi mapenzi muda wote tu! please look outside the box!

 
Nadhani kabla ya kuleta hii thread umetoka kugida eagle....

sawa bana we sema chochote unachojisikia, lakini ukiangalia vizuri mkononi wa huyo jamaa mnaedhani ni jamaa kamkumbatia mwanamke utamwona Dolphin mmojawapo ( in grey colour). Usiache kunipa feedback ukimwona!!!
 
View attachment 20244
Mimi naona kichupa tu! :)

ebu wacheck hao dolphins naokuambia



pencil.png
 
Back
Top Bottom