a.k.a za majina ya wanawake zinamaanisha nini?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nimekuwa naangalia majina ya wanawake hasa kwenye maeneo ambayo wanatumia a.k.a mengi yana maneno kama sweet na yale yanayofanana na hayo. mi nikajiuliza maneno mawili matatu, hivi do we measure women for their utamu? na huu utamu ni kwenye angle ipi hasa?

Ni tafakuri tu.....................
 
Mkuu wanawake/wasichana ni viumbe vinavyopenda kujisifia na kusifiwa. ndo maana wengine akivaa nguo nzuri anapenda umwambie "umependeza" hata kama hajapendeza au "chakula chako kitamu" hata kama si kitamu, nayeye utasikia anakujibu kwa sauti nyororo huku akitabasamu "asantee..".
Yaani ndivyo Mungu kawaumba so usishangae. ndo maana mimi hata akinisemesha tu namwambia asante ili azidi kufurahi. Mia
 
Kaka nimependa sana hii analysis, sasa ile sweet ya kwenye majina yao ina maana gani?
 
mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe..........

ushanpata??!!

Wengine wenye hayo majina na avatar zenye kuonyesha utamu ukiwaona unakimbia na hutorudi tena.
 
mkuu wanawake/wasichana ni viumbe vinavyopenda kujisifia na kusifiwa. Ndo maana wengine akivaa nguo nzuri anapenda umwambie "umependeza" hata kama hajapendeza au "chakula chako kitamu" hata kama si kitamu, nayeye utasikia anakujibu kwa sauti nyororo huku akitabasamu "asantee..". Yaani ndivyo mungu kawaumba so usishangae. Ndo maana mimi hata akinisemesha tu namwambia asante ili azidi kufurahi. Mia
mmhhh!!!!
 
mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe..........

ushanpata??!!

Wengine wenye hayo majina na avatar zenye kuonyesha utamu ukiwaona unakimbia na hutorudi tena.

Hahahahaaa nimeipenda hii kwahiyo ukiwa na mbwa koko na unasikia wezi wanazengea nyumbani kwako unabweka mwenyewe!
 
Walaaa sikuchonganishi! Mi nimeuliza tu kwa sababu hujatuwekea mifano ya hao wanawake na a.k.a zao za 'sweet'.
Hii ni kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari
 
Mh! Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza bure, hata kukiwa na mbwembwe zoote bado tu kama una ubaya wako either ni watabia utakuwepo no matter umeliweka jina livutie
 
Kaka nimependa sana hii analysis, sasa ile sweet ya kwenye majina yao ina maana gani?

si ndo hivyo anataka watu wajue yeye yupo sweet hata kama siyo sweet. yaani ili mladi vituko. msichana yoyote anataka wavulana wamgombanie na yeye hapo ndo anazidisha nyodo. so anajitangaza yeye ni sweet ili wengi wavutiwe nae. Mia
 
Mh! Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza bure, hata kukiwa na mbwembwe zoote bado tu kama una ubaya wako either ni watabia utakuwepo no matter umeliweka jina livutie

Mh we kwanini ulijiita jina hilo? "SHINE" sio ndio mule mule kweli?
 
Mkuu wanawake/wasichana ni viumbe vinavyopenda kujisifia na kusifiwa. ndo maana wengine akivaa nguo nzuri anapenda umwambie "umependeza" hata kama hajapendeza au "chakula chako kitamu" hata kama si kitamu, nayeye utasikia anakujibu kwa sauti nyororo huku akitabasamu "asantee..".
Yaani ndivyo Mungu kawaumba so usishangae. ndo maana mimi hata akinisemesha tu namwambia asante ili azidi kufurahi. Mia

Kweli mkuu hapa umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom