.....A.K.A za kufunga mwaka.....

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
Waungwana, kuna majina ya ziada (a.k.a) mimi huwa yanayonikosha sana, ..na aya ni baadhi ya machache

1. Anne Makinda a.k.a Mama Posho
2. JK a.k.a Vasco da Gama
3..........a.k.a mzee wa Ban(sijasema namwogopa)
4.CUF a.k.a CCM-B
5. Madaraka Seleman a.k.a Mzee wa Kiminyio
6. Mchungaji Mwaipasile a.k.a Babu wa Loliondo
7. Chenge a.k.a Mzee wa Vijisenti
8.Nape Nnauye a.k.a Vuvuzela
9. P Funk a.k.a Kinywele Kimoja
10. Athuman Idd a.k.a Chuji(japo sifahamu maana ya Chuji)
11. Maneno Osward a.k.a Mtambo wa Gongo
12. Mzee Mwinyi a.k.a Ruksa
13. Pinda a.k.a Mtoto wa Mkulima(japo sina uhakika kama anajua ata kushika jembe)
14. Ngeleja a.k.a Mzee wa Megawati
15. Wassira a.k.a Tyson (big up sana aliyeasisi ili jina)
16. Salum Kabunda a.k.a Ninja (uyu ndio alikuwa ananipa tafsiri halisi ya beki asifiwi)
17. Aspen a.k.a Mzungu Kichaa
na zinginezingine

kuna watu huwa natafuta sana A.k.a zao hadi leo sijazijua mtu kama Shibuda,Meya wa Dsm,Sitta,Mnyika,Mkapa,Makamba kwa azijuaye azitupie hapa..
Pia kama kuna a.k.a unavutiwa nayo basi itupie nasi tuione uku tunafungafunga mwaka ivyo..
 
Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba Maboksi JF aka Mjasiriamali wa hisia, enjo fes, na karolaiti aka Mgodi wa fikra, hekima, na busara aka bahari ya huba na haiba aka Msababishaji wa kujitegemea.
 
Kichomi aka kichomekeo aka kiingizio aka kito.... Aka kipigio..., Pinda aka mzee wa kimpumu, EL aka fisadi , Komba aka Pono, Masaburi aka mata... Bilali aka mzee wa sherehe, Mwigulu aka mzee wa vichenchele,Salma aka mama kiherehere.
 
uyo Salma unamaanisha yupi muungwana,yule demu wake Sharobaro?
 
Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba Maboksi JF aka Mjasiriamali wa hisia, enjo fes, na karolaiti aka Mgodi wa fikra, hekima, na busara aka bahari ya huba na haiba aka Msababishaji wa kujitegemea.
hapo ktk red ndio mpango mzima zingine zote 2pa kule.
 
Kweli mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe
Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba Maboksi JF aka Mjasiriamali wa hisia, enjo fes, na karolaiti aka Mgodi wa fikra, hekima, na busara aka bahari ya huba na haiba aka Msababishaji wa kujitegemea.
 
dr slaa a.k.a dr wa ukweli
jk a.k.a mkweee'ree
tundu lissu a.k.a jembe
kilimanjaro starz a.k.a BEST LOOSER.
Said Yusuph a.k.a Mbwiga wa Mbwiguke.
Kamanda Kov*a a.k.a kamanda kovu
 
Back
Top Bottom