A gud A-level school for HGE

mtengwa

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,600
847
Habari zenu wadau. Kuna mdogo wangu anatafuta shule nzuri ya GIRLS (bording)inayofundisha ya advance mchepuo wa HGE. Yenye kutoza ada nafuu.msaada please
 
Mkuu, kwa taarifa yako shule zote "nzuri" deadline ya kuomba nafasi, ama kufanya mitihani ya kuingia shule hizo, imeshapita. Lakini endelea kuangalia matangazo luningani. Kama upo Dar, jaribu kutembelea ofisi namba 8 na 16 pale Msimbazi Centre waweza fanikiwa.
 
Bei nafuu kwakwo ni shs. ngapi? Shule zipo nyingi ni wewe vigezo vyako vya ufaulu na pesa yako. Lakini jitayarishe na shs. kama 2m - 3 m Kama unataka quality hapo ni ya kati. Kama ya rahisi ni za serikali ambazo ni kichwa chako na alama ulizopata kama umechaguliwa. ukiacha hapo hizo za private za bei nafuu zitakukosti matokeo mwisho wa shule.
 
kaka me nshapta huko kitambo, kuna mdogo wangu anatafuta. Thanx lakini
 
Back
Top Bottom