a girl to marry

Bebrn

Senior Member
Mar 20, 2008
103
23
hey good friends how can i get a god girl for married and not for fun! pls help me i'm at hot time
 
any gal????be specific hata ngombe huwa na vigezo fulani fulani...
 
hapo mkubwa, for a girl to marry inatofautiana mtu na mtu, mwingine anataka appearance, mwingine tabia
ila uzuri wa mwanamke nionavyo mimi ni tabia sio sura.
tafuta mwenye sifa:
>> mcheshi
>> mpole
>> mcha Mungu
>> msikivu
>> etc

vitu kama dini, rangi, kabila, elimu hivyo sio vya muhimu sana kwenye mahusiano
 
funga na kuomba, mlilie mungu ili akupe msichana mzuri ambaye baadaye atakuwa mkeo.
 
Mchumba hatafutwi mnadani. work hard, take time, think twice then you will realized your ambition.
 
Back
Top Bottom