a GHALA LA SILAHA LALIPUKA CYPRUS, HUSEIN MWINYI WAO AJIUZURU.

Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,982
1,009
Wanajamvi kwa jinsi wenzetu wanavyojua kuwajibika kutokana na uzembe unaotokea chini ya mamlaka zilizo chini yao, waziri wa ulinzi wa cyprus costas papacostas amejiuzuru mara moja kutokana na kulipuka kwa ghala silaha kali. Mlipuko huo umeharibu hadi kituo cha umeme na sasa ni giza kama la uwanja wa taifa jana. Yakhe hussein mwinyi upo? Au unawaza urais 2015.
 
Na mkuu wa majeshi pia amejiuzulu!Hapa kwetu hadi leo hatujapata report ya mbagala!
 
hapa kwetu walisema ni mapenzi ya mungu, ndio maana hawaoni sababu ya kuwajibika.
Labda mungu wao ana malengo ya kuua watu kwa njia ya mabomu.
Alafu walisema tusiangalie tu mabaya, tuangalie mazuri waliyofanya.
 
Zaidi watasema kuna watu wa upinzani ndio wamesababisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom