''a fatal'' mistake in relationships....

Kwenye ndoa: Mwanamke anatakiwa apende zaidi ya mwanaume ili ndoa idumu. Akubali kuvumilia mtu kuchelewa kurudi, kutokula chakula alichopika, kufuliwa soksi zinazonuka, kumegwa bila hata ya maandalizi na vitu kama hivyo

Kwenye uchumba: Kupenda kuwe sawa..

Kwenye infidelizesheni: Mwanaume anatakiwa apende zaidi ili aweze kumpangishia infidelee nyumba, kumnunulia gari na kumfungulia akaunti ya kuweka mafuta kwenye gari, kupewa penzi la kiwizi wizi ambalo ndio tamu kuliko la halali,

Listi itaendelea shortly!!
ha haha ha ha ha ha ha nasubiria list iendelee shortly, ushauri mzuri sana mazee!!!!!:A S 39:
 
Wajinga ndio waliwao.. a word love is easy to say but hard to practice!! wengi wanaojifanya wanapenda kwa sana lakini wanaumia kwani either wanailazimisha kuna kitu kinafichika hapo.
 
Iam not the believer of this thing love anyway.Simply because there are so many infidelators & infidelees.So whatever is done in the name of love is just a bunch of lies!We are all selfish creatures

Girl ... you seem to have a wondeful expirience !!

Zion! Is there anyone out there ..who correpted ... IT... I mean the Love?
 
Back
Top Bottom