''a fatal'' mistake in relationships....

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
wakuu wa kazi,
salamu kwenu......
awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole na swaumu.Naitambua swaumu na ugumu wake hasa wiki ya kwanza.

jamani eeh!mi katika pita pita yangu na ka uzoefu kangu ka kawaida nimewahi kusikia na KUSOMA makala fulani nikaona kitu cha ajabu kidogo....!

wenyewe wanasemaje,kwamba:
1)-kwenye mahusiano kuna ''kuzidiana'' kwa upendo kwa namna yoyote ile kwa wapendanao.i mean katika wawili wapendanao kuna mmoja lazima anakuwa amemzidi mwenzie UPENDO kwa kiwango chochote...

2)-kwa kuiangalia hoja namba moja(1) tajwa hapo juu,wao wamedadavua kwamba hilo swala la kuzidiana kwa level ya upendo kumesababisha misuguano mi kubwa sana katika mahusiano kwa maana ya kwamba kuna mtu anaona ''hatendewi haki'' baina ya wawili hao

3)-kwa kuiangalia hoja namba mbili(2) tajwa hapo juu,wadau wametoa hitimisho kwamba KUNA AINA FULANI YA KUZIDIANA UPENDO NI VERY BIG MISTAKE.....''a fatal mistake''.kwamba a fatal mistake katika sense moja hivi kuwa kuna case moja inaweza kuwa kosa lakini bado mahusiano yakaendelea.....na kuna nyingine ni kwamba haiwezekani kabisa,mahusiano lazima yavunjike na imebatizwa kuwa ''FATAL MISTAKE''

sasa basi;WHICH OF THE TWO SITUATIONS BELOW COUD BE A FATAL MISTAKE?
-mwanaume kumpenda zaidi mwanamke kuliko hata unavyoweza ku-imagine?
-mwanamke kumpenda zaidi na zaidi mwanaume kuliko hata inavyostahili?

tujadili....
 
:confused2: will back soonest. ila in short FATAL MISTAKE nafikiri ni hiyo ya mwanamke kumpenda zaidi mwanaume maana lol!!!
 
:confused2: will back soonest. ila in short FATAL MISTAKE nafikiri ni hiyo ya mwanamke kumpenda zaidi mwanaume maana lol!!!
mwamba ngozi weye............!
kwanini iwe hivyo?
do you know how men feel wakiwa kwenye situation ambayo ni the opposite case?
 
Iam not the believer of this thing love anyway.Simply because there are so many infidelators & infidelees.So whatever is done in the name of love is just a bunch of lies!We are all selfish creatures
 
Iam not the believer of this thing love anyway.Simply because there are so many infidelators & infidelees.So whatever is done in the name of love is just a bunch of lies!We are all selfish creatures
unachokiongea hapa kinanipa reflection ya aina fulani hivi ya maisha....
lakini kwakuwa wewe ni zeidii naamini ninachokifikiria SIO SAHIHI!
i therefore tender to reserve my comments for now
 
Iam not the believer of this thing love anyway.Simply because there are so many infidelators & infidelees.So whatever is done in the name of love is just a bunch of lies!We are all selfish creatures

At least you've been honest with yourself!:becky:
 
mwamba ngozi weye............!
kwanini iwe hivyo?
do you know how men feel wakiwa kwenye situation ambayo ni the opposite case?

I've been there!

It is the worst s.h.i.t that can happen to men! Life simply and abruptly looses its meaning.....................Thank you lord for saving my a...
 
I've been there!

It is the worst s.h.i.t that can happen to men! Life simply and abruptly looses its meaning.....................Thank you lord for saving my a...
hahahahaha!that's my boooy

mods wanaweza kutuwekea poll hapa?
 
Yote ni fatal. Ni bora kuishi pamoja bila hiyo kitu mnaita love, mkalea watoto wenu kwa amani (kama mtu na mzazi mwenzake) kuliko kuwa na nyumba iliyosimama kwenye nguzo moja.
 
Yote ni fatal. Ni bora kuishi pamoja bila hiyo kitu mnaita love, mkalea watoto wenu kwa amani (kama mtu na mzazi mwenzake) kuliko kuwa na nyumba iliyosimama kwenye nguzo moja.
sasa kaka zinawezaje kuwa fatal zote....
na mnawezaje kuishi pasipo mapendo?...
 
sasa kaka zinawezaje kuwa fatal zote....
na mnawezaje kuishi pasipo mapendo?...

Kwani mapendo ndo kitu mnaita love? Mimi nilidhani love ni mapenzi au ni tatizo la lugha. Nilidhani kuwa mnaweza kuishi kwa kupendana kama kaka na dada ila mnakuwa na nafasi pekee ya kushiriki pamoja meza ya bwana. Baada ya hapo mnazaa matunda na kuyatunza vyema tu. Mnajaliana na kuheshimiana ila hiyo kitu yenu love inakuwa kama ipo..haipo. Hakuna mambo ya kusumbuana na kugandana kama kumbi kumbi.

Mhh, tunaongelea nini hivi? .....ngoja nikapate lunch kwanza.
 
ahahahahah!
you need a brake IN JESUS NAME
 
Mtu mzima kuamini kwamba hawezi kuishi bila mwenzake kwangu ndo nitaita 'fatal'....
 
Back
Top Bottom