Kumbuka habari za kura za maruhani katika maana yake nyingine
Kama nilivyoona vilikuwa ni viungo vya maiti halisi za vichanga na watu wazima wale watu hawafai kuishi duniani......
.........
Ilifika muda wa ibada nikachukuliwa kwenda huko underground floor, kulikuwa kunatisha mno nikakaa sehemu ya wageni kwa juu kidogo kabla ya holini
Hall lilikuwa kubwa lililopakwa rangi nyeusi na taa zilikuwa nyekundu sana zenye mwanga mkali, madhabahu MSALABA wake uliangalia chini na kulikuwa na jeneza lililofunikwa kutambaa chekundu
Ukumbi ulikuwa na watu wasiopungua hamsini hivi wote wakiwa uchi wa mnyama,ulianza mziki wa heavy metals wenye sauti za ajabu mno kama zile za kuzimu
Duu nilikuwa sijakupata....La mkono! Sio hahhahaaaaa
Sio wote wanaotakiwa kuwa waseja bali ni wale mamasters tu sawa na mapadri wa kikatoliki
Hizo Sio mantra kweli
NAMTUMBA kwenye Buddhism hakuna maisha baada ya kifo kwakuwa wanaamini katika reincarnation, yaani maisha mengine mapya baada ya kifo1. wanasemaje kuhusu maisha baada ya kifo? 2. je wanasemaje kuhusu ngono(uzinifu)?, ni dhambi au starehe? 3. je kuhusu Mungu?
NAMTUMBA kwenye Buddhism hakuna maisha baada ya kifo kwakuwa wanaamini katika reincarnation, yaani maisha mengine mapya baada ya kifo
Ngono ni craving ni tamaa ya kihisia(sio kimwili) isiyo na faida bali hasara lakini kama ni kwa maana ya kuendeleza kizazi basi haina shida
3.Buddhism haiamini katika Mungu mkuu(The Almighty God), bali katika miungu- bodhisattva's