A call for Kikwete to resign his presidency

Original post called for Kikwete's resignation because of performance. You questioned whether leaders are being criticized regardless of performance. Then you were asked whether you are wondering that Kikwete is performing well. And your response is you are questioning whether the original post was imaginary.

Unless you think that Kikwete may be performing well, then you can not wonder whether the original post calling for Kikwete's resignation was made regardless of perfomance. Ok!

I do not mind where you stand, I just have more respect for a man who let's me know where he stands. So, stand up an be counted!

One more time. Since the original post is blasting Kikwete's performance, and you are questioning whether that criticism was made regardless of performance, are you allowing the possibilty that Kikwete is performing well?

Noble Knight,

I prefaced my post with

Not in the least defending Kikwete, neither tempted to participate in this noble -if quixotic- gesture.


Was the significance of this statement wasted on you?

I questioned the objectivity of a literate electorate.Labour is in deep problems in the UK, partly because they have been in power for too long.I was questioning whether literate societies grow tired of whatever the person in power is, this does not have to mean that Kikwete is performing.

I also went ahead and lambasted the oversimplifying of issues by calling for resignations as stated above.

I do not see a contradiction or boggling complexity, unless one track only is used in the capacities of the reader's faculties.
 
napenda watu wanavyopoteza muda hapa kutaka JK ajiuzulu !.. hehe !


This is exactly my concern.

Badala ya watu ku concentrate kwenye the realizable issues, watu wanakuja na abstract zilizojaa a religious zeal lakini ni alinacha.

Unless we can pull some bizarre stunts to warrant such a bizarre move as Kikwete's resignation under the circumstances, which is not even a solution anyway but admitedly a nice shakeup, the opportunity cost should indicate that we cannot afford this expensive indulgent habit.
 
haya bana...subiri niwaachieni mkipoteza muda NYANI...mama kaanguka, hataki kutoka sasa...hahaaa !

Na wewe keep Mama's name out of your mouth. And yes, Mama won last night in South Dakota, Puff (Tom) Daschles home state....
 
This is exactly my concern.

Badala ya watu ku concentrate kwenye the realizable issues, watu wanakuja na abstract zilizojaa a religious zeal lakini ni alinacha.

Unless we can pull some bizarre stunts to warrant such a bizarre move as Kikwete's resignation under the circumstances, which is not even a solution anyway, the opportunity cost should indicate that we cannot afford this expensive indulgent habit.

Watu wanafikiria kuresign ni jambo dogo, eti resign ! resign sijui ndio kwanza wamejifunza, watu badala ya kukazania zile threads za kumshitaki mkapa, naona hawajamaliza kazi wanakuja na kutaka kikwete ajiuzulu, yaani hilo ni jambo ambalo kwa kweli nimestuka watu wazima wenye akili zao, wanaamka asubuhi na kusema subiri tuandike leo kikwete ajiuzulu....

Kwa kifupi hiki ni kitu ambacho hakitowezekana, kama kuresign washaona ni mchezo sasa, basi nawashauri watunge mchezo mwingine. And at some point, i know that this is just distracting people from discussing real issues, lakini ndio huwezi kuwaambia watu waache kudiscuss fantasies zao
 
Na wewe keep Mama's name out of your mouth. And yes, Mama won last night in South Dakota, Puff (Tom) Daschles home state....

haha....bwahahaaa... unanikumbusha terry mcauliffe ! si unaona hata mwenyewe anasema yupo open kwa ajili ya # 2.
 
Noble Knight,

I questioned the objectivity of a literate electorate.Labour is in deep problems in the UK, partly because they have been in power for too long.I was questioning whether literate societies grow tired of whatever the person in power is, this does not have to mean that Kikwete is performing.

Ignoble Tenant,

So, you were making a general point about the UK, and other literate societies in the known universe, not relating particularly to Kikwete and the Tanzanian society.

Assuming, without concluding, that that is what you meant, then you would be pathetically wrong to wonder whether the original post was overly imaginary, since the call for resignation focused specifically on Kikwete's perfomance, and was pinpointed on this Tanzanian society, and nowhere else.

You then got imaginary, by expanding the thought of original post to include other socities in the UK, of which nothing was hinted at. So who was quixotic, you or the post?

If you're wondering whether Kikwete is performing well, but do not have the balls to say it, it'll be said for you!
 


Dear President Kikwete,

Just Because....

that you have failed us over and over again
that you have not worked hard to fight corruption
that you seem to not remember any of your promises

that you have made criminals your best friends
that you have demonstrated cowardice and incompetence
that your "unnecessary massive" government have impoverished us

of your reckless spending
of your careless embezzlement
of your deliberate actions to divide us

you are a sell off
you are taking us for a ride
you don't remember that we exist

you have taken our land from us
you have robbed our savings and our future
you have not taken time to listen to us - your employer

.....

just because... you don't seem to care ... it doesn't get to you whether we die or live...

just because.... of all these and many more...

I am asking you for the sake of our people and our nation, for the sake of our kids and grand kids, for the sake of our united republic, for the sake of our .. yeah future.... to spare us this looming danger.

I am calling for you to resign your presidency effective immediately so that we can start to build our national again without you as our commander in chief and president.

Yours in pain!

Mwafrika wa kike - 2008!



Prof. Msola kwanza. Au siyo?
 
Ignoble Tenant,

So, you were making a general point about the UK, and other literate societies in the known universe, not relating particularly to Kikwete and the Tanzanian society.

Assuming, without concluding, that that is what you meant, then you would be pathetically wrong to wonder whether the original post was overly imaginary, since the call for resignation focused specifically on Kikwete's perfomance, and was pinpointed on this Tanzanian society, and nowhere else.

You then got imaginary, by expanding the thought of original post to include other socities in the UK, of which nothing was hinted at. So who was quixotic, you or the post?

If you're wondering whether Kikwete is performing well, but do not have the balls to say it, it'll be said for you!

You just confirmed my suspicion that two ideas in the same post, like walking and chewing gum, is a feat of disproportionately arcane demands for you.

I suspect also the significance of "Just curious" was another waste?

FYI, I was musing and questioning which is far from making a point.The point was not about the UK, the UK situation was brought in just to further illustrate the general point to Noble Knights who cannot walk and chew gum, let alone the numerable intricacies of the fine art of dueling.

So, you were making a general point about the UK, and other literate societies in the known universe, not relating particularly to Kikwete and the Tanzanian society.

Correct

Assuming, without concluding, that that is what you meant, then you would be pathetically wrong to wonder whether the original post was overly imaginary, since the call for resignation focused specifically on Kikwete's perfomance, and was pinpointed on this Tanzanian society, and nowhere else.

After your assumption, why would you embarass youerself with disclosing even a dream of linking the call for resignation to anywhere else in any way at all, hence necessitating the above convolution?

Did my thinking that the original post was imaginary have a connection with the question that literate societies being intolerant? Did not my preface take care of any possible confusion you seem to self indulge in?


The original post is extravagantly naive and I stress again quixotic because although it focused specifically on Kikwete's resignation, it did not provide specifics.

You then got imaginary, by expanding the thought of original post to include other socities in the UK, of which nothing was hinted at. So who was quixotic, you or the post?

First you seem to equate imaginary and quixotic, which is a mistake.Quixotic is more impracticable than imaginary. Imagination powers innovation, quixotic ideals kill civilizations.It is hard to urge you to think outside the box outside the box when you can't think outside the box!
ftn402.gif

Again, you cannot chew gum and walk.Threads evolve and I doubt you can appreciate that one thread cannot be bound on one focus, as long as the relation is soundly relevant.

If you're wondering whether Kikwete is performing well, but do not have the balls to say it, it'll be said for you!

Not only am I decidedly clear on this, I was clear that Kikwete is a joker before the 1995 CCM nominations, when there was mass hysteria and Kikwetemania among many of today's Kikwete staunch opposers.

I will keep in mind to go slow, geez.U make me feel like I am extrapolating the implication of Poincare's conjecture on Kaluza-Klein warpage of strings and its eefct of the 26 dimension of space-time!
 
Kwa kweli hata mimi inanishangaza kuona watu wazima ambao nina imani wana upeo mkubwa wa kuchanganua mambo,ghafla wanakurupa kama walevi wa pombe za kienyeji kuleta hoja isiyojadillika humu.Ninafahamu suala la uhuru wa kuongea,lakini basi ebu tuwe tunajaribu kutoa hoja ambazo angalau tudhani zinaweza kuleta changamoto za maana.Ndio,najua mtoa hoja lazima awe ni mpinzani,sawa, naliheshimu hilo.Lakini hata kwa wapinzani makini sio rahisi ukisikia wakitoa mapendezo mfu kama ya huyu mama.Sasa,nakuhakikishia wewe na wale wote wanauunga mkono kwamba mpende msipende JK ni Rais mpaka 2015. Kama humtaki,basi hilo ni tatizo lenu binafsi.

Na lazima tuelewe kwamba JK amesimamishwa na CCM ili kusimamia ukelezaji wa Ilani ya CCM.Na hilo ndio analolifanya.Sasa kuanza kumlaumu kwamba eti hana mikakati ni upofu wa kujua masuala ya utawala wa nchi.Sasa,kama mtu ana hoja ailekeze kwa CCM yenye ilani(ambayo ndio mikakati yenyewe).Tusitake kumuonea mtu hapa.CCM ndiyo inayotawala na wala sio JK.

Sasa kama mna ubavu, basi,iambieni CCM kuwa iachie hatamu ya uongozi.Sio haki kumlenga mtu wakati hatamu ni ya chama.Msipende kuropoka tu ila mradi mna uhuru wa kufanya hivyo.Muwe mnapima mambo na kuyatafakari kwa kina.
 
JK hana mikakati and that is a fact.I am not disputing that. What I am disputing is the practicability and how effective is this "JK ajiuzulu" stance.

Nimeuliza akija Shein na kuwa procastinator zaidi ya JK, au Pinda kuwa authoritarian tutasemaje?

Sijajibiwa.

Au mnataka JK ajiuzulu halafu ampe funguo za Ikulu, say, Mbowe?

Is that so?
 
Haihitajiki mtu kujiuzulu au kumtaka Kikwete ajiuzulu huko ni kuzidi kumpa kiburi ,njia ni moja tu ,kampeni za kuibadilisha Katiba ndio zitakazowakwamua WaTanzania kwa kiasi fulani natumai Katiba iliyopo ikichambuliwa na kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu kulingana na mfumo wa vyama vingi basi mambo yatakuwa mazuri tu na kila kiongozi atakuwa na adabu na heshima ya kuwaheshimu raia hususani wapiga kura ambao ndio waliomuweka kwenye madaraka(Raisi na chama chake),kazi ya mwananchi kwa hapa tulipo ni kumpa kura mgombea na akishamaliza anakuwa hana haki tena ya kumhoji na kumuuliza masuala .
Ndugu wananchi na wandugu mnaoendeleza vyama vya upinzani msitumie wakati wenu mwingi kuzungushana na watawala waliopo madarakani na Chama chao CCM kamwe hamtawashinda au kuwaondoa katika position waliokuwepo itakuwa ni kupoteza nguvu zenu na umri wenu kupotea kiulaini huku jamaa wakipiga kasia kwa nguvu zote.

Katiba ya nchi hii ni lazima ifanyiwe marekebisho au kutungwa upya ,tume ya Uchaguzi iwe mpya angalau kwanza tupige hatua kwa mambo haya mawili halafu tutazame mengine ili kuijenga Tanzania katika wigo ambao utakuwa mfano mkubwa zaidi ya huu uliokuwepo ambao umekaa kama moto ambao umefichwa na jivu na vyama vya upinzani vinapokanyaga jivu hilo huungua vibaya sana na vyengine hufa kabisa au huwa havitibiki kabisa kutokana na majaraha, hii sifa ya Tanzania ni nchi ya amani sifa hii ni moto uwakao chini ya majivu ya CCM.
 
Ahsante,

Tunahitaji institutional changes kama mabadiliko ya katiba na sheria pamoja na elimu ya uraia kuliko tunavyohitaji watu wajiuzulu.
 
Nyinyi mwacheni Critic...ndivyo alivyo!! Ataanza kuleta mambo ya Freud hapa na mambo yake ya binary....atavuruga flow nzima ya post....halafu mtaishia kutukanana.
 
Nyinyi mwacheni Critic...ndivyo alivyo!! Ataanza kuleta mambo ya Freud hapa na mambo yake ya binary....atavuruga flow nzima ya post....halafu mtaishia kutukanana.

Nyani,

Kuna post fupi fupi mbili tatu, ziko concise kwa wasiotaka kusoma.

By the way Freud (I didn't bring him, you did) is mostly a fraud and the binary system along with its current AI approach is pretentiously misguided and outdated.
 
Kwa kweli hata mimi inanishangaza kuona watu wazima ambao nina imani wana upeo mkubwa wa kuchanganua mambo,ghafla wanakurupa kama walevi wa pombe za kienyeji kuleta hoja isiyojadillika humu.Ninafahamu suala la uhuru wa kuongea,lakini basi ebu tuwe tunajaribu kutoa hoja ambazo angalau tudhani zinaweza kuleta changamoto za maana.Ndio,najua mtoa hoja lazima awe ni mpinzani,sawa, naliheshimu hilo.Lakini hata kwa wapinzani makini sio rahisi ukisikia wakitoa mapendezo mfu kama ya huyu mama.Sasa,nakuhakikishia wewe na wale wote wanauunga mkono kwamba mpende msipende JK ni Rais mpaka 2015.Kama humtaki,basi hilo ni tatizo lenu binafsi.
Na lazima tuelewe kwamba JK amesimamishwa na CCM ili kusimamia ukelezaji wa Ilani ya CCM.Na hilo ndio analolifanya.Sasa kuanza kumlaumu kwamba eti hana mikakati ni upofu wa kujua masuala ya utawala wa nchi.Sasa,kama mtu ana hoja ailekeze kwa CCM yenye ilani(ambayo ndio mikakati yenyewe).Tusitake kumuonea mtu hapa.CCM ndiyo inayotawala na wala sio JK.Sasa kama mna ubavu, basi,iambieni CCM kuwa iachie hatamu ya uongozi.Sio haki kumlenga mtu wakati hatamu ni ya chama.Msipende kuropoka tu ila mradi mna uhuru wa kufanya hivyo.Muwe mnapima mambo na kuyatafakari kwa kina.
Nadhani kama ni kuropoka wewe ndiyo namba moja kwa sababu sijui ccm unayemsema ni nani hata alaumiwe. Hicho chama bwana ni watu, si mnyama wala jiwe. Tena kinaongozwa na watu na ni hao hao waliotunga hizo wadanganyika mnaita eti ilani. Sasa kama hatukumuuliza mwekiti wa hizo ilani zenu na kumuwajibisha yeye ndiyo tufanyeje ati?

Shida ya watu wengine ni ufahamu mdogo tu. Kwani jk akitawala mpaka 2010 shida itakuwa ya mwanamke mwafrika pekee? Sikiliza, wewe huna duka lako wala hospital yako pekee. Huna shule yako wala chuo chako pekee. Vyote tuna share tu. Kama si wewe fisadi utakayepata shida uje ni babako mamako dadako mjombako n.k
Hivyo; shut up
 
Mimi nadhani kweli kikwete kashidwa na kuwaangusha hawa watanzania ambao kwa ujinga wao walimchagua wenyewe eti atafanya mabadiliko makubwa katika maisha yao. Hajafanya lolote kabisaaaaaaaaaaa. Nimewasikia hata baadhi ya wana ccm wanalalamika hivi hivi.
Je anaweza kutuambia kafanya lipi katika utawala wake kweli?
Ila mimi nililiona kabla hata ya kuchaguliwa kwamba tumeliwa.
Watu waliweka matumaini makubwa sana kwa huyu bwana from no where.

Hakukuwa na base yoyote ambayo watu wangeweza kuieleza kwa nini walikuwa wanamuona eti kama mkombozi wao wa umaskini. Wao waliungana na ushabiki uliotoka katika magazeti ya kibongo na kumchagua kwa uongo uongo wake tu. Sasa tunaipata.

Na kwa kweli hawezi kuondoka madarakani kwa kuwa viongozi wetu huwa hawana kawaida ya ku resign hata kama wameboronga. Nipe mfano wa raisi wa kiafrika aliyewahi kuachia ngazi kwa kuwa amiboronga! Kama yupo ni muujiza. Wote huwa akishaapishwa ahadi zao zinaishia baada ya ile mizinga 21.

Na usimwambie kuwa umeshindwa kutimiza ahadi zako, hapo tena unakuwa adui namba moja. Usipokuwa makini hata kukuua ni rahisi. Mungu tu atusaidie.
 
NADHANI KAMA NI KUROPOKA WEWE NDIYO NAMBA MOJA KWA SABABU SIJUI ccm UNAYEMSEMA NI NANI HATA ALAUMIWE. HICHO CHAMA BWANA NI WATU, SI MNYAMA WALA JIWE. TENA KINAONGOZWA NA WATU NA NI HAO HAO WALIOTUNGA HIZO WADANGANYIKA MNAITA ETI ILANI. SASA KAMA HATUKUMUULIZA MWEKITI WA HIZO ILANI ZENU NA KUMUWAJIBISHA YEYE NDIYO TUFANYEJE ATI?
SHIDA YA WATU WENGINE NI UFAHAMU MDOGO TU. KWANI jk AKITAWALA MPAKA 2010 SHIDA ITAKUWA YA MWANAMKE MWAFRIKA PEKEE? SIKILIZA, WEWE HUNA DUKA LAKO WALA HOSPITAL YAKO PEKEE. HUNA SHULE YAKO WALA CHUO CHAKO PEKEE. VYOTE TUNA SHARE TU. KAMA SI WEWE FISADI UTAKAYEPATA SHIDA UJE NI BABAKO MAMAKO DADAKO MJOMBAKO N.K
HIVYO; SHUT UP

kweli tumewaudhi !
 
Back
Top Bottom