A boy in Zimbabwe going shopping with the equivalant of 3 US dollars

Ameir Eshaq

Member
Jan 3, 2011
35
1
Inflation_in_Zimbabwe-81.jpg
 
Hii ni ya zama ni mkuu huyu dogo ashakuwa mtu mzima sasa. Zimbabwe kwasasa wanatumia dola ya kimarekani kama their currency na hii ya kwao washa idispose!
 
Hii ni ya zama ni mkuu huyu dogo ashakuwa mtu mzima sasa. Zimbabwe kwasasa wanatumia dola ya kimarekani kama their currency na hii ya kwao washa idispose!

Mkuu si ya zamani kiasi hicho - just about 3 years ago hela hiyo ya zimbabwe ilikuwapo.
 
Dont miss this episode soon coming to you live.Stay tuned.Proudly sponsoured by CCM.(Mapinduzi Daima) in collaborations with DOWANS(NO Power for More Money).
 
Back
Top Bottom