98 percent of your future life will depend on"the choice of your wife or husband"

Ok,nimekuelewa Kiranga,ila hiyo "pagan" inasumbua sana leo,kila mmoja anamwita mwenzie hivyo.Lakini mimi nimesema hivyo kimtazamo wa Abrahamic religions(christian,muslim,rastafari n.k)yaani wanaoabudu "Mungu" tofauti na wa ki-Abraham anaitwa mpagani japokua nae anawaita hao vivyo hivyo!
 
Last edited by a moderator:

Mie natumia "Bibicheka" na kamwe si "Bibilia".

Bibilia kwangu dhambi kwani sitaki kumfanya bibi alie.
Kha! Hivi Kiranga ni illuminati?
Jina tu la Bibilia, au la Kuran ni sacred
hii ni blasphemy not even funny! :nimekataa
 
Hapo ndo kunakuwa na kazi kama siku hizi walio wengi wanaangalia pesa, sura au shape
 
Back
Top Bottom