98 percent of your future life will depend on"the choice of your wife or husband"

Ha ha ha ha ha
Eti sounds better lol

Wangu mambo? Mzima?
Sasa Kiranga anauliza maswali magumu na mwenye thread sucked his data out of his thumb,
nikaona niokoe thread kwa kutoa a simple answer.
 
Last edited by a moderator:
Wangu mambo? Mzima?
Sasa Kiranga anauliza maswali magumu na mwenye thread sucked his data out of his thumb,
nikaona niokoe thread kwa kutoa a simple answer.

You are very polite.

Wengine wangesema data ame pull out of his a*s, maana ziko ki bs bs hivi.
 
Usipooa wala kuolewa ilhali kila kiungo kinafanya kazi,
ni dhambi kwa Mungu!utaenda motoni!

Kwa hiyo Yesu kaenda motoni? Na wote tunaotaka kufuata mfano wake tutafanya dhambi na kuishia motoni?

Pamoja na Papa na watawa wake wote?
 
I think thats too much emphasis on a partner!! You have a better chance of being trully happy if you master the art of being content alone, sio kutgemea happiness kutoka kwa mtu mwingine. Taht life is akin to a PARASITE!
 
You are very polite.

Wengine wangesema data ame pull out of his a*s, maana ziko ki bs bs hivi.
Oh!:shock: (offended)!

Kwa hiyo Yesu kaenda motoni? Na wote tunaotaka kufuata mfano wake tutafanya dhambi na kuishia motoni?

Pamoja na Papa na watawa wake wote?
Kama hutaki kuoa basi itumikie eklezia.
Hao ulowataja waliitumikia/unda eklezia.
Kama ni mwislam, basi oa, at least mmoja
Kama hutaki kuoa jiandae kwenda motoni
Huko unakufa na kiu, ukiomba maji unapewa usaa.
Bwahahahaha
As for me, natafuta mchumba on meetic,
nikikosa nitaleta thread hapa JF next month
 
Utakutana na vibwetere huko, shauri yako.

Mie nishaanzisha eklezia yangu kitambo mbona, mpaka na msahafu.
 
Kumbe? Nami nipo saint peter's church hapa juu kidogo.
Next Sunday nitapita kusikiliza mawaidha yako nione kwanza

Mawaidha yangu yana rituals lakini. Shurti nikukatekista kisawasawa.

Halafu kuna bonge la chalice la ubani kufukiza huku tunaangalia disorientation of Osiris, or Sirius, seriously.
 
Kiranga huyo Osiris ni yule wa pagan trinity ya Horus na Isis au huyo mwingine?
 
Last edited by a moderator:
Mawaidha yangu yana rituals lakini. Shurti nikukatekista kisawasawa.

Halafu kuna bonge la chalice la ubani kufukiza huku tunaangalia disorientation of Osiris, or Sirius, seriously.
Sirius is my fave star, you know that! lol
 
Kiranga huyo Osiris ni yule wa pagan trinity ya Horus na Isis au huyo mwingine?

Hapana,

Huyo ni extrasolar HD 209458 b in the constellation Pegasus. Nna borrow cycles from a SETI mainframe kama sehemu ya misa.

And the only thing that's pagan in today's world is the liberal use of the word pagan.
 
Back
Top Bottom