98 percent of your future life will depend on"the choice of your wife or husband"

You can have everything but your choice of who you marry will determine your happiness and good life .some partners are thieves ,murders,closeted gay ,witchdoctors,greedy,shopalcoholic,

Kuna Ukweli, tena mi nafikiri ni 100% ya maisha yako ya baadaye ya mahusiano yanategemea sana chaguo la mume/mke wako. Unaweza kuwa na maisha bora kwa kuwa na kipato kizuri au hata kufikia umaarufu fulani lakini ukawa na taabu na huzuni au maisha ya mahusiano mabaya kutokana na chaguo la mwenzi wako.
 
thats right ndugu,
nimeshuhudia marafiki, ndugu na jamaa wamedestroy future zao kwa machaguo yao.
lakini wapo ambao Mwanyezi Mungu aliwajaalia wakapata wenzi ambao wameyafanya
maisha yao yawe na maana. Tuombe dua sana pindi tunapofikiria huu mchakato kwani
hii ni bonge ya changamoto kwetu tunaotaraji kuingia katika taasisi hii muhimu.:israel:
 
Umejuaje aisee.. Ndo maana bado nipo nipo sana 2 nasoma ramani nisije nikaumiza wanangu bure wakaja kunilaumu mwisho wa siku

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umejuaje aisee.. Ndo maana bado nipo nipo sana 2 nasoma ramani nisije nikaumiza wanangu bure wakaja kunilaumu mwisho wa siku

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

we lini umeachana tena hata mwaka hujaisha unaleta nia ya usingle tena du
 
You can have everything but your choice of who you marry will determine your happiness and good life .some partners are thieves ,murders,closeted gay ,witchdoctors,greedy,shopalcoholic,

itz true
 
You can have everything but your choice of who you marry will determine your happiness and good life .some partners are thieves ,murders,closeted gay ,witchdoctors,greedy,shopalcoholic,

You say "98 percent of your future life will depend on your choice of the wife or husband" But the reality is " 100% of your future life will depend on GOD's choice of your wife or husband"

AMEN.......!!!
 
Thread ina kigugumizi.

Inataka kusema kitu lakini inashindwa kusema kwa ufasaha.

Matokeo yake imejaza generalization, figures out of a hat na sweeping statements.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom