9 Ahadi za Mwana Gamba na Falsafa yenu Vs Gwanda.

124

Member
Nov 9, 2011
12
3
Kwa wana Gwamba wote Bado Tunazikumbuka ahadi zetu?
  1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
  2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
  3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa ujinga,magonjwa na dhuluma
  4. Rushwa ni adui wa haki,Sitapokea wala kutoa rushwa
  5. Cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu
  6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote
  7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu
  8. Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
  9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
    Wanawakumbushieni! Chadema.
 
Hizo ahadi zote zilikuwa sahihi kwa muda huo ila kwasasa zote zianze na hii hapa "Si"
kwa mfano namba moja itakuwa inasomeka hivi; Binadamu wote SI ndugu zangu. Ndio hicho wanachofanya sasa magamba, zote wamezi-negate
 
Back
Top Bottom