Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
Sio mambo ya nani kaona mwanzo. Fact ni kwamba kwanini Mayahudi wanafanya uadui kama huu duniani, na wamenyamaziwa na vyombo vya Super Power. Ni jambo la kutafakari tujue kuna Agenda gani? Sasa yaliyopita sio ndwele tugange yajayo. Jambo la kwanza ni kuondosha makafiri wanaowauwa waislamu kila siku katika nchi zao.
Kwamfano, tuliambiwa vita vya Iraq ni Mass destructions, mnalikumbuka hilo? Where are the weapons of mass destruction? did the President lie? Were we deceived? Did he lie lie lie? Pia tuliambiwa ni kumng'oa Sadam Hussein, naye hayupo duniani. Sasa ni kuwang'oa watoto wa kiislamu? Ni lazima tuhukumu kwa haki kama ni kweli tunaitakia dunia Amani.
Iraq ina wakristo kibao.
Suala hapa ni Msuli wa ubepari sioni ni vipi uislamu unaingia.