80% ya wanawake huangaliwa kwa nyuma na wanaume wanapopita hasa makalio

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,833
16,690
Hi out there, salam salamWote tunajua, ila natia msisitizo na kukumbushana, hata (m)wanawake wanajua sana tu, wanapotembea au kupishana na wanaume au awapite (m)wanaume, huangaliwa kwa nyuma zaidiii, hasa makalio, na utaona demu mnapishana atajua tu anaangaliwa kwa nyuma, sasa awe na wowowo, ni balaa, macho yote = nyuma yake, kama mzoefu kwa mambo ya wakubwa avae transparent hivi, hata ukiwa na demu wako utajidai kamba ya viatu imelegea uiname umcheki kwa nyuma, kumbe uzuri mwingi wa mwanamke utaujua ukimcheki kwa nyuma basi, hasa makalio, je yupo flexible, rigid, makalio na kiuno huzungumza mengi sana kuhusu mwanamke,nimesikia wengine wanaweka ya bandia, ila akiwa na mtikisiko usiseme, karibuni
 
Hi out there, salam salam
Wote tunajua, ila natia msisitizo na kukumbushana, hata (m)wanawake wanajua sana tu, wanapotembea au kupishana na wanaume au awapite (m)wanaume, huangaliwa kwa nyuma zaidiii, hasa makalio, na utaona demu mnapishana atajua tu anaangaliwa kwa nyuma, sasa awe na wowowo, ni balaa, macho yote = nyuma yake, kama mzoefu kwa mambo ya wakubwa avae transparent hivi, hata ukiwa na demu wako utajidai kamba ya viatu imelegea uiname umcheki kwa nyuma, nakwambia.....

Mr. Presida, Uzuri wa nyumba ni choo.
 
asante kwa taarifa....skuizi ntakuwa natembea na ungo..nikiona nataka kupishana na wanaume basi najifunika na ungo pale nyuma...
 
Mr. Presida, Uzuri wa nyumba ni choo.
Umemaliza, kweli, wengine mkipishana ndio wanatikisika hadi utagongana na watu utageuza safari na kuanza safari mpya kumfuata, wachokozi we acha, na wanajua what they are doing
 
Nadhani hili ni suala la culture tofauti za watu Waafrica na Wabrazil labda ila kuna culture nyingine zinaangalia kifuani, wengine usoni....
 
Mimi nakubaliana na hoja hii, si rahisi demu aliyejaaliwa nipishane naye bila kumwangalia kwa nyuma, shida iko moja tu kwamba akiwa na wo wo wo la uhakika naye anahisi nitamwangalia ninachoweza kufanya ni ku-delay kuangalia nyuma ili yeye arudishapo macho akute ninangalia mbele baada ya hapo ni lazima nitazame wo wo wo lake. hiyo ni nature! Kwa Mwanaume nayejua demu yupi analipa hawezi kuvumilia kuona wo wo wo likipita bila kulifanyia assessment ya uhakika!
 
asante kwa taarifa....skuizi ntakuwa natembea na ungo..nikiona nataka kupishana na wanaume basi najifunika na ungo pale nyuma...
Ungo upo rigid, inatakiwa mtikisiko, juu chini right left, salam kibao Rose siku hiyo, looking from behind si mchezo
 
kwani wanakukpunguzia nini wape raha in case wewe sio mwembamba
kwani nikiwa mwembamba ndo nakuwa sina?
na wanene wote wana wowoowoooo?

mi mwembambaaaaaaaaaaa km nani sjui lakin apa nyuma nimebeba ngumi 9 za tayson !!!!
 
Kila mwanaume au mwanamke anavigezo vyake vya kupendea so hapo naona hujatenda haki kwa kusema 80%..
Najivua Gamba ... mie vigezo vyangu haviangalii hiyo kitu unayotamka..
 
sasa hii 80% ilipatikanaje Mh. rais.....hoja inawezekana ina mashiko ila njio gani imekufikisha kwenye 80%

sasa utashangaa, wale wa siasa kali hapa watakunanga mpaka basi

Ila raha ya kondoo......
 
Mimi nakubaliana na hoja hii, si rahisi demu aliyejaaliwa nipishane naye bila kumwangalia kwa nyuma, shida iko moja tu kwamba akiwa na wo wo wo la uhakika naye anahisi nitamwangalia ninachoweza kufanya ni ku-delay kuangalia nyuma ili yeye arudishapo macho akute ninangalia mbele baada ya hapo ni lazima nitazame wo wo wo lake. hiyo ni nature! Kwa Mwanaume nayejua demu yupi analipa hawezi kuvumilia kuona wo wo wo likipita bila kulifanyia assessment ya uhakika!
Ur a really man speaking from ur inner heart ukweli, safi sana Makoye, that is what it is man, hata ukiwa na dingi yako akiwa hajatulia utamwona automatically kageuka, ni kama sumaku vile, inaweza chukua nusu sekunde kuangalia kwa nyuma, kunani pale?
 
Back
Top Bottom