77 hotel Arusha

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,116
Wanajamii ni muda sasa karibu miaka 5 hotel hii imebinafsishwa lakini hakuna ujenzi unaendelea ni kitu gani kinazuia ujenzi kuendelea ? Kama mwekezaji ameshindwa kuiendeleza si anyang'anywe apewe mwekezaji mwinine , hii hotel ni muhimu sana kwa uchumi wa mkoa wa Arusha . Kama kuna mtu anajua kinachoendelea atujuze.
 
hotel Embassy jee?dar tanzania hakuna viongozi wenye maamuzi magumu ndio maana kuna ****** huu
 
yaani hizi hoteli zingetengeza ajira za kutosha sijui hawa watu wanafanyaje maamuzi ?
 
Bucho umeamkaje?, utaenda kumpigia kura Sarakikya pale arumeru?!. Hii mada yako ni tata. Kwanza umesema imepata muwekezaji kama miaka 5 imepita( tueleze basi, ni nani, wawapi?) kisha unamalizia kusema anayejua kinachoendelea atujuze, inamaana huna uhakika na ulichopost. Unatupa jiwe kichakani?!
Wanajamii ni muda sasa karibu miaka 5 hotel hii imebinafsishwa lakini hakuna ujenzi unaendelea ni kitu gani kinazuia ujenzi kuendelea ? Kama mwekezaji ameshindwa kuiendeleza si anyang'anywe apewe mwekezaji mwinine , hii hotel ni muhimu sana kwa uchumi wa mkoa wa Arusha . Kama kuna mtu anajua kinachoendelea atujuze.
 
Bucho umeamkaje?, utaenda kumpigia kura Sarakikya pale arumeru?!. Hii mada yako ni tata. Kwanza umesema imepata muwekezaji kama miaka 5 imepita( tueleze basi, ni nani, wawapi?) kisha unamalizia kusema anayejua kinachoendelea atujuze, inamaana huna uhakika na ulichopost. Unatupa jiwe kichakani?!

nimeamka vizuri mkuu wangu . Hi hotel ilipata mwekezaji ambaye ni kempisky . Tangia mwekezaji mpya achukue hii hotel inakaribia miaka 5 hakuna chochote kinaendelea , sasa najiuliza huyu mwekezaji ameshindwa kuiendeleza ama ni kitu gani kina mkwamwisha , hii hotel ilikuwa inatoa ajira kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Arusha.
 
Motel Agip msiisahau

rove+729.JPG
 
Mtu anangojea ipande thamani ya kiwanja! Akiingia mtu hapo inabidi abomoe yote. Kulikuwa na utaratibu wakati ule inakaribia kukata kauli, mabachela walikuwa wanakodi na kulipa monthly. Ilikuwa very convinient as rooms zake ziko kwa mfumo wa quarter moja-room mbili. Si wangeendeleza hiyo just to keep it in one piece?
Msisahau kuna ajira, kodi, bills mbali mbali, absorption ya vyakula na mboga mboga, vinywaji etc!
 
mbona sijakuelewa hapa ? Unataka kusemaje ?
 
nimeamka vizuri mkuu wangu . Hi hotel ilipata mwekezaji ambaye ni kempisky . Tangia mwekezaji mpya achukue hii hotel inakaribia miaka 5 hakuna chochote kinaendelea , sasa najiuliza huyu mwekezaji ameshindwa kuiendeleza ama ni kitu gani kina mkwamwisha , hii hotel ilikuwa inatoa ajira kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Arusha.

Hii ni jinsi wenye pesa wanavyokandamiza wanyonge. Iweje mwekezaji aache rasilimali kama hiyo kwa muda mrefu
kiasi hicho huku vijana wamebaki hawana ajira. Watanzania tuchukue uamuzi mgumu. Vinginevyo tutatawaliwa na
kubakia walalahoi.
 
mi nimeshindwa kuelewa . Sijui ni njama au ni uzembe uliopitiliza ?
 
Hotel 77 tuliuziwa milango waliyoibandua pale, viti na samani mbalimbali.
Nasikia walimnyima Mrema wa Impala Hotel kimizengwe mizengwe naamini angepewa ujenzi ungekuwa umeshaanza.
Waziri yuko kimya, Serikali kimya, Mbunge sijamsikia, kwani sheria ya uwekezaji inasemaje? Sheria ichukue mkondo wake.
 
Hotel 77 tuliuziwa milango waliyoibandua pale, viti na samani mbalimbali.
Nasikia walimnyima Mrema wa Impala Hotel kimizengwe mizengwe naamini angepewa ujenzi ungekuwa umeshaanza.

pale kuna heka 25 iliyokamilika yaani acha tu .
 
nakumbuka tuu disco la pale
Walitunyima sana raha kuutumia ule ukumbi kwa disco aise
Kulikuwa na disco moja la kistaarabu sana na amani na watu walikuwa wanaemda pale hata kama sio wanywaji wala wacheza music ila kupumzika na kuangalia mambo yanaendaje na sehem ya kukutania pia
Ila ndio tanzania yetu kila mtu anafanya analoliona linamfaa
Wangeacha hata tuendelee na ule ukumbi kama hawakuwa na mpango wa kuubomoa kwa kipindi hicho
 
duh mkuu umenikumbusha bakurutu la pale ilikuwa safi sana .
 
Back
Top Bottom