7 Natural Wonders of Africa-VOTE NOW

Is this POLITICAL-GEOGRAPHY or what? Land scapes to be determined by vote?Ama kweli Africa kila kitu ni siasa.
 
nashindwa vote maana kila nikijiregister inagoma sijui nakosea wapi?
 
wengi wanaweza kuonyesha umoja huo,ila wajanja wachache wakafaidi kupitia migongo ya hao wengi
mbona unapenda kutanguliza mawazo tasa kwa kila kitu.

ndo nyienyie mnaowashauri watu wasishiriki sensa. Muda wote mnawaza mgando. Yaani ukishafikiria ukifanya hivi fulani atapata? then kwa nini nifanye? Hivi wewe unaweza hata kumsaidia mtoto wa nduguyo kumpeleka shule kama uwezo unao sidhani, maana utaona akifaulu then nitapata nini.

Punguza kijiba kwenye maslahi ya Taifa tushikamane lol!!!
 
RUBI
kweli we rubi,umetokea wapi tena? maana umekuwa mahakama,unajaji hata usivyoweza kudadadeki.
umeVOTE? maana sio unapiga kelele tu kumbe ndio wachache wajanja mnaofaidi kwa migongo ya wengi,ila siku zenu zinahiesabika,take care twaja
 
Nimevote. Kati ya maajabu 12 yaliyoingizwa kwenye shindano Tanzania tunayo matatu - Mt Kilimanjaro, Serengeti na Ngorongoro. Tulipaswa tuwe juu sana kwenye sekta ya utalii kuliko nchi nyingine zote Afrika
 
RUBI
kweli we rubi,umetokea wapi tena? maana umekuwa mahakama,unajaji hata usivyoweza kudadadeki.
umeVOTE? maana sio unapiga kelele tu kumbe ndio wachache wajanja mnaofaidi kwa migongo ya wengi,ila siku zenu zinahiesabika,take care twaja
Sijawa mahakama ila umenishangaza kuona kila kitu una una mawazo hasi.
 
kila kitu?
hadi ndoa yangu,familia yangu,maisha yangu,mandeleo yangu,yaaaaaaani kila kitu?
duuu
kweli usifanye jambo kumridhisha mtu hapa duniani
 
Labda sina uhakika sana! unajua kumjaji mtu ni kutokana na matendoye.

Sasa kwa kuwa mimi na wewe tuko ndani ya kava, siweze jua ila mtu yeyote member wa humu unaweza kumjua huyu ni mstaarabu, wa hovyo, dakika tatu mbele, yuko doro, dakika tatu nyuma, mropokaji, n.k kutokana na maneno yake anayoandika kwenye post, thread, wakati mwingine hata ID mtu anayojipa inaweza ashiria kitu.
 
kwa upande wangu sipendi kumjaji mtu,maana wanasema usiusemee moyo
nimekutana na watu ambao humu ndani ya jf,michango yao unaweza cheka na kujaji visivyo ila ukikutana nao na miradi yao huwezi amini,mwishowe nikasema,usijaji rangi ya chakula.
 
Back
Top Bottom