Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,717
Ukisoma welcome note ya Invisible (Robot) hapo juu kwenye forum zenu utaona juu ya jina lake kaandkia kama nilivyoandika kwenye title.
Swali: Anamaana gani? Ndio itakua kifo cha JF tujiandae kwa rambi rambi? Kuna kitu anafikiri atakua ka achieve ifikapo 2015?
Swali: Anamaana gani? Ndio itakua kifo cha JF tujiandae kwa rambi rambi? Kuna kitu anafikiri atakua ka achieve ifikapo 2015?