6Milion natafauta gari

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Wana JF... nina kiasi cha Tshs. 6M Je ninaweza kupata gari (saloon, RAV 4, Escudo) iliyokuwa katika hali nzuri kama ipo naomba PM
 
Wana JF... nina kiasi cha Tshs. 6M Je ninaweza kupata gari (saloon, RAV 4, Escudo) iliyokuwa katika hali nzuri kama ipo naomba PM
.
Ipo gx100 ila omgeza 1m ziwe saba huhitaki kuibadili chochote na unaenda kokote utakako
Consumption yake ni 8km\lita urban na 11km/lita highway.

Karibu kama uko interested
 
PATA TOYOTA NADIA SAAAAAFI KWA MIL. 5.5 RANGI YA SILVER. GUARANTEE YA MIEZI SITA AZC wasiliana na DAVIS 0755 489 800
 
Wana JF... nina kiasi cha Tshs. 6M Je ninaweza kupata gari (saloon, RAV 4, Escudo) iliyokuwa katika hali nzuri kama ipo naomba PM

Mkuu tarehe 30 mwezi wa 9 mwaka huu kuna mnada wa magari pale chang'ombe viwanja vya sigara. wahi ukajichagulie gari. mia
 
Mkuu NADIA D4 NI GARI SAAAFI KAMA MENGINE ISIPOKUWA KAMA UNATUMIA OIL AU MAFUTA YA VICHOCHORONI YENYEWE INAKUUMBUA KWA KUUNGURUMA VIBAYA, NA HAPO UNATAKIWA KUJAZIA MAFUTA SAFI AT LEAST YA BP "PUMA" AU TOTAL, LAKINI ENGINE ZINGINE ZINAKUNYWA TUU ILA MWISHO WA SIKU NI GEAR BOX AU ENGINE KU KNOCK. GO FOR NADIA BRO.
 
Wana JF... nina kiasi cha Tshs. 6M Je ninaweza kupata gari (saloon, RAV 4, Escudo) iliyokuwa katika hali nzuri kama ipo naomba PM

All the best, ila kuwa makini, vimeo ni vingi!!! ukiweza tembelea zoomtanzania.com, chagua cars, trucks & boats
 
Kuna bodi ya Volkswagen "Bito" zile orijino inakwenda kwa 250,000 tu za kitanzania.
Wewe unayetaka gari inaweza kuanza kununua bodi then matairi,injini,gia box n.k mwisho wake unamiliki mchuma wako.,changamka nafasi ndio hii,hiyo deal ni kama kuokota dodo chini ya mbuyu nakwambia.
 
leta hiyo hela gx 100 mark two 2001 km 100102 iko poa ila mambo ya lawyer juu yako, interested 0712755866, naweza kukutumia picha soon
 
Back
Top Bottom