$6m ARV plant launch at stake over fakes...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
NEWS
By ROSEMARY MIRONDO

Posted Saturday, October 13 2012 at 18:42

IN SUMMARY

  • The government has banned the Arusha-based company from further producing and distributing ARVs as it investigates the matter.
  • 9,570 tins of the fake drug had been recalled and about 2,600 are still being stored in medical stores.

The discovery of counterfeit anti-retrovirals could scuttle Tanzania Pharmaceutical Industries Ltd's - the country's sole manufacturer of ARVs - export plans.

The government has banned the Arusha-based company from further producing and distributing ARVs as it investigates the matter.

This comes in the backdrop of plans by TPI to set up a modern plant to manufacture ARVs, deputy managing director Zarina Madabida said.

"We are conducting our own investigations to determine the motive to discredit TPI as we are about to inaugurate a Tsh10 billion ($6.4 million) plant under a grant from the European Union, with an eye on the international market," Ms Madabida said.

She added that the decision to halt production was a big blow to the company as it was likely to affect business especially at the new plant, which is designed to produce ARVs and other drugs for opportunistic diseases.

"The government has served us a 14-day notice to explain the fake drugs but it is inconceivable that we can fake our own," said Ms Madabida.

Additionally, the Minister of Health and Social Welfare, Hussein Mwinyi suspended three top officials at Medical Stores Department, a government entity and sole distributor of ARVs in the country.

The minister said so far 9,570 tins of the fake drug had been recalled and about 2,600 are still being stored in medical stores.

TPI got the technology transfer to manufacture ARVs from Thailand and has been doing so since 2007

Mr. & Mrs. Madabida were both former East African MP representing Tanzania?
Or it was just Mr. Madabida and Mrs. Madabida was LOCAL SELECTED MP?

Wote ni Wasomi na Wamekimbilia SIASA ili kifilisi SERIKALI kwa JINA la kusaidia WATU WENYE UKIMWI na Bado hao CCM Wanachaguana hao hao...
 
baada ya kuwaibia watanzania kupitia mradi wa ARV amekimbilia kugombea m-kiti wa mkoa wa dar es salaam ili kulinda maslahi yake kwa sababu anajua wazi kuwa ccm imeweka maslahi ya ccm mbele kuliko ya nchi kwahiyo pamoja na ufisadi mkubwa alioufanya anatumia m-kiti wa ccm kama kinga ya kujilinda dhidi ya ubadhirifu unaomkabili.
shame on you wana ccm kumchagua fisadi kuongoza chama chenu
 
Ndio, Na Project amemaliza SASA ni KULA NCHI NZIMA sasa; Hicho kiwanda alikipata alipokuwa MBUNGE wa AFRIKA ya MASHARIKI; Sasa alipokuwa MEYA wa JIJI naona alibeba VIWANJA kibao - ni wakati wa ku-invest.

Inashangaza kweli Mjumbe MMOJA aliulizwa swali la hicho kiwanda chake cha ARV's; Anayesimamia UCHAGUZI akasema Hilo swali sio wakati wake hapa; Mchagueni MADABIDA na akapita...
 
Aisee tumuogope Mungu kwa kusema tusio kuwa na hakika nayo..
Kwanza hamna madabida aliyekwisha wahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki,na hamna Madabida aliyekuwa Meya..hicho kiwanda kilikuwa kimekufa kabisa 1997,wakaungana na serikali kukifufua mwaka 97 hata hawajui siasa ni nini,wamekiendeleza mpaka kimekuwa cha kisasa sasa hivi..Mzee Madabida kabla kuwa mwenyekiti wa ccm dar alikuwa mNEC ccm mkoa dar,mkewe ni mbunge CCM dae special seats..

tujitahidi kufanya utafitii kabla kuropokwa ni dhambi jamani kah!! binadamu sie!
 
You, are very right kwenye UBUNGE wa EAC nilikuwa namchanganya na DIDAS MASABURI; Umenifanya nimsome zaidi; He is currently the Chief Executive Officer of Tanzania Pharmaceutical Industries Limited, which is one of the privatized former public enterprises. Mr. Madabida has played a leading role in the privatization of the Tanzanian public pharmaceutical manufacturing sector...

* Ndie alieichukua NATIONAL CHEMICAL INDUSTRIES (Government Owned Company)

Masikitisho ni hivyo kutengeneza hizo ARVs...
Nimeona nikuwekee picha za USHINDI wake; Sijui lini TUTAAMKA... Tumekuwa Washabiki zaidi ya Wazalendo wa Nchi yetu... ni aheri kumtetea FISADI kuliko Mwananchi Mwenzako anayekufa kesho....

004.jpg

8.jpg

11.jpg
Ramadhan Madabida akipiga kura.
001.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi uliofanyika jana Oktoba 13, 2012 kwenye Ukumbi wa PTA, Sabasaba na kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiri hicho kwa kupata jumla ya kura 310, huku mpinzani wake J. Guninita akipata kura 214.
003.jpg

Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, akizungumza baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika jana Oktoba 13, 2012 kwenye ukumbi wa PTA, jijini.
005.jpg

Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida (kulia) akipongezwa na aliyekuwa mgombea mwenzake katika kinyang'anyiro cha uchaguzi , huo, J. Guninita, baada ya kutangazwa matokeo na kumsinda kwa jumla ya kura 310 kwa 214, katika uchaguzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa PTA jana Oktoba 13, 2012.
 
Back
Top Bottom