658??? Kweli Mwaka Mpya Noumar.... HAPPY BIRTHDAY PEOPLE!

hahahaha.... You hesitate na hali I don't know her.... Please Naomba mfikishie salamu za pongezi saaaana. Everybody deserves that on their Birth Dates... Regards to her with Love....

....labda atapita mwenyewe mitaa hii kama nafasi itamruhusu, kama hakupita basi nitamfikishia salam.
 
....labda atapita mwenyewe mitaa hii kama nafasi itamruhusu, kama hakupita basi nitamfikishia salam.

Akipita (hope ni mpitaji walau hata once in a while) kama hajajitambulisha..... Please tell...... Nimpongeze Directly..... Asipo pita please send her my Regards
 
Samahanini lakini watu husherehekea siku zao za kuzaliwa kwa nini?
 
Wewe unasherekea siku ya kuingia mwaka mpya?

Jee siku yako ya kuzaliwa unasherehekea?
Jibu lake HAPANA sisheherekei, ila huwa ninatafakari yale yaliopita na yajao, na kutathimini kila jambo ambalo nimeweza kulikumbuka kama nimelifanya kwa mafanikio ama lah! Je ninafanya makosa na kupitwa...!?

Kumbuka kuwa siku zako za kuishi zinazidi kupungua, je usikitiki kwa yale ambayo ukuyatimiza...!? Je leo ukidondoka utakumbukwa mambo yepi mazuri au mabaya yako...!

Basi siku ya kuzaliwa na siku ya mwaka mpya ni siku ya wewe kutafakari zaidi, japokuwa haya yanatakiwa huyafanye kila siku, lakini siku hizi mbili ni siku ambazo unayakusanya yote mazuri na mabaya, kisha unayaweka kwenye mizani, yepi yameshinda yepi, kisha ndio utajuwa ni furaha ama huzuni?

Kazi kwako.

Ah ah ah ah... Nisikutishe bana, furaha uongeza uhai, lakini zisivuke mipaka.
 
Watu wanajza tunaona, manake siku ya bday yangu sikuliona jina langu kwenye list nikakumbuka kumbe nilichakachua lol.

Heri ya mwaka mpya wote na nawatakia kila la kheri mfanikishe malengo yenu yote ya mwaka 2012 ambayo yenye nia nzuri.
 
Samahanini lakini watu husherehekea siku zao za kuzaliwa kwa nini?

Ukiiangalia kwa undani saana, ni kama vile haina umuhimu kwa kweli... ila tu in most cases kwa mtazamo wangu yaweza kua sababu zifuatazo...

  1. Ile tu utamaduni wa kuiga maana ni common knowledge kua Westerners ndo wathamini saana Birthdays.
  2. A chance ya kuangalia your life with a fresh eye... in the sense maybe waishi tu bila kutafakari umetoka, uko na waelekea wapi, na kama ulipo in relation na umri unatoa picha if the future is promising or not.
  3. Kulazimishwa na there close ones.... Kuna watu hawataki kabisa bugdha ya Birthdays, ila tu wakaribu wao ndo hulazimisha.
  4. Or simply as a reminder ya kusema I was born this day!
  5. An excuse to get reckless, lazy, or anything mtu ataka awe that day.... in the name ya ni "birthday yangu"
 
Na kumsherehekea mwengine jee?
 
Watu wanajza tunaona, manake siku ya bday yangu sikuliona jina langu kwenye list nikakumbuka kumbe nilichakachua lol.

Heri ya mwaka mpya wote na nawatakia kila la kheri mfanikishe malengo yenu yote ya mwaka 2012 ambayo yenye nia nzuri.

Wee sport Fun.... Mzima wewe? Kheri ya Mwaka mpya nawe pia...

Hupendi kuimbiwa Birthday song wewe eeeh? lol
 
dahhhh
Hongera zao.

hata mi ningesahau birthday yangu ningechukua tu 1.1... rahisi kukumbuka ..
 
Na kumsherehekea mwengine jee?

Naona it is more out of ushabiki tu.... Ila kwa upande wangu napenda saana Birthdays (hasa huku uraiani) kwa wale wa karibu wangu tu lakini, ni nafasi kwangu kuwaonesha to what extent I value them, hapo nitajipiga piga ninunue hata zawadi ambayo yaendana na taste zake.
 
Na hii tunaweza iweka katika kufata Umagharibi pia.

Mtu utake kumuonyesha unam value kiasi gani ndo mpaka birthday?

Na mpenzi watataka kuonyeshana on Valentines day pia.
 
dahhhh
Hongera zao.

hata mi ningesahau birthday yangu ningechukua tu 1.1... rahisi kukumbuka ..

That explains the huge number I guess..... lol

Na hii tunaweza iweka katika kufata Umagharibi pia.

Mtu utake kumuonyesha unam value kiasi gani ndo mpaka birthday?

Na mpenzi watataka kuonyeshana on Valentines day pia.

Ndio ni some sort ya Umagharibi pia.... Unajua tumetofautiana kuonesha consistency ya mapenzi dhidi ya tuwapendao kila siku.... ingawa ni na kweli kabisa Mapenzi ya dhati yapo evident kila siku.... Hizo siku i.e Birthdays na Valentines.... Inakua tu kama kukukumbusha kua kama hujamfanyia mwenzio la kumfurahisha to the maximum siku nyingi.... basi walau tumia siku hio to do something extra kwa ajili ya the person in question....
 
Mie. Mzima nashukuru Mungu.

Sio sipendi kuimbiwa, si unajua ukiingia sehemu lazima usome kwanza alama za nyakati.

Wenger hebu nidokeze.... Alama za nyakati zinasemaje? Maana upo hapa toka 2009 naamini majibu usha pata bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom