658??? Kweli Mwaka Mpya Noumar.... HAPPY BIRTHDAY PEOPLE!

kumbeee.....
Happy bday hao jamaa bana....hata wenye one yr.
Watakuwa wamepata zile 'one laptop for every student'
 
Mhh haya sitaki kufukunyua zaidi kujua we na Babu mlianza anzaje hadi kufika mambo ya kalenda lol...

hahahahaha.... Unajua tena lazima tuombe maneno ya kiutu uzima kwa wazee wetu jG.....lol... And that was what I was doing....
 
"Dear J'efers"

Naomba niwajuze kua hapa JF kuna watu leo ni Birthday zao..... Yaani wapo 658! Naamini ndio siku ambayo inavunja RECORD katika Mwaka Mzima wa JF kwa uwingi wa watu na Birthdays zao.... .
Wakuu woooote wenye Bithday Leo na niliotaja hapa chini Nawatakia
Birthday Njema na nawapongeza kua Mwaitimiza siku ambayo is considered as a day for
“Fresh Starts” in Life... New hopes... In most cases everybody is happy today....
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Awajaalie
na kuwapa Maisha Mareeeefu!

Mamndenyi
X-Paster
YoYo
Miss America
Dark City (Mzee DC)
Bundajo
Lucky_c_Pesa

On behalf of JF Members I send warm Greetings
scented with Love to a whole bunch of You!

:flypig:“HAPPY BIRTHDAY .... PEOPLE” :flypig:

Pamoja saana

AshaDii

Eeeh! Kumbe leo ni mai bathdei ya kudhaliwa eh! ...Dah! Masikini miaka ndio hiyooooooooo inakwenda zake.

Haya tumeongera.
 
kumbeee.....
Happy bday hao jamaa bana....hata wenye one yr.
Watakuwa wamepata zile 'one laptop for every student'

Biggie sijui umewaza nini hapo....lol... Haya bana naamini salamu zitawafikia...
 
Yuko pia Bi Mkubwa ambaye ni mwanachama wa siku nyingi naye Birthday yake ni leo.

HAPPY BIRTHDAY TO YOU ALL
 
Last edited by a moderator:
Yuko pia Bi Mkubwa ambaye ni mwanachama wa siku nyingi naye Birthday yake ni leo.

HAPPY BIRTHDAY TO YOU ALL

Bak mind saynig Bi mkubwa ni nani mwenye Birthday leo pia...
 
Eeeh! Kumbe leo ni mai bathdei ya kudhaliwa eh! ...Dah! Masikini miaka ndio hiyooooooooo inakwenda zake.

Haya tumeongera.

Dah! Ulikua umesahau? Happy Birthday and New Year Mkuu..... Best of Luck katika kila jambo.
 
Rejao nimeenda kucheck profile yako.... Hamna habari ya Miaka yako pale... Ina maana hata kwenye Calender hamna. na ina maana pia kua ukitaka kujua umerecord miaka mingapi..... Only you have the authority... Mwingine hawezi.
Oooh..this is bad, ngoja nijitahidi kuedit ma profile at least birth date na month.
 
...Huyu ni mwanachama wa JF tangu January 2007.

Bak hivo hio ni birthday in the sense alijiunga the first of January na sio Birth Date? Au nimeelewa vibaya?
 
Dah! Ulikua umesahau? Happy Birthday and New Year Mkuu..... Best of Luck katika kila jambo.
Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa wamefaulu kuuona mwaka mwingine. Lakini wanasahau kuwa miaka inakwenda, na umri ndio unapungua.

Naimalizia hii kitu, utanisoma baadae kwenye ukumbi wa siasa... Mwaka Mpya Na Miungu Ya Kisiasa
coming soon... Ah ah ah ah!
 
Oooh..this is bad, ngoja nijitahidi kuedit ma profile at least birth date na month.

Inategemea na mapenzi.... Na kwenye setting kuna options kadhaa pale, thou mie pia I choose not to put.
 
Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa wamefaulu kuuona mwaka mwingine. Lakini wanasahau kuwa miaka inakwenda, na umri ndio unapungua.

Naimalizia hii kitu, utanisoma baadae kwenye ukumbi wa siasa... Mwaka Mpya Na Miungu Ya Kisiasa
coming soon... Ah ah ah ah!

Hio title inanifanya niwe interested and curious.... Hapo juu umenena..... Pande hizo hua hatukumbuki...lol
 
Bak hivo hio ni birthday in the sense alijiunga the first of January na sio Birth Date? Au nimeelewa vibaya?

Hapana ADI siku yake ya kuzaliwa ni January 1st, mwaka nanihii lol!
 
Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa wamefaulu kuuona mwaka mwingine. Lakini wanasahau kuwa miaka inakwenda, na umri ndio unapungua.

Naimalizia hii kitu, utanisoma baadae kwenye ukumbi wa siasa... Mwaka Mpya Na Miungu Ya Kisiasa
coming soon... Ah ah ah ah!

Wewe unasherekea siku ya kuingia mwaka mpya?

Jee siku yako ya kuzaliwa unasherehekea?
 
Hapana ADI siku yake ya kuzaliwa ni January 1st, mwaka nanihii lol!

hahahaha.... You hesitate na hali I don't know her.... Please Naomba mfikishie salamu za pongezi saaaana. Everybody deserves that on their Birth Dates... Regards to her with Love....
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom