600,000Tsh Laptop wanted

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wakuu nahitaji laptop BRAND NEW.
It can be a Toshiba,Dell,HP, lakini nataka yenye dual core 2.0 or above/1Gb Ram or above/150GB HDD or above/15"tft/DVDRW/No need of software/mengine standard.

Nje ya hiyo bei nikipata wapi naweza kununua security lock za laptop na mouse nzuri za laptop nitashukuru.
Asante.
 
mie ninayo HP Compaq mpya naisukuma laki 6.5 Ram duol cole, 3gb, HDD 350
 
Angalieni website za mnajuu mpate idea ya mnachotaka na bei itakaaje bongo

Pcworld.co.uk

Etc
 
Wakuu nahitaji laptop BRAND NEW.
It can be a Toshiba,Dell,HP, lakini nataka yenye dual core 2.0 or above/1Gb Ram or above/150GB HDD or above/15"tft/DVDRW/No need of software/mengine standard.

Nje ya hiyo bei nikipata wapi naweza kununua security lock za laptop na mouse nzuri za laptop nitashukuru.
Asante.

Haya Mkuu nimesha kuandikia Message kwenye P.M kaangalie unijibu Laptop unayo itaka nimeipata nakungojea wewe unijibu kwa P.M na mtu yoyote Mwengine anayehitaji Tafadhali aniandikie message kwa P.M. ili niweze kumsaidia asanteni
 
Hey
ninayo Toshiba yenye dual core AMD athlon (tm) 64 x 2) Duo core , 2 GB RAM na 1.90GHz inch 15
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom