I'm damn sure my dad is my biological father....
I'm damn sure my dad is my biological father....
Ikiwa 60% ya watoto wa Tanzania bara hawahusiani nawanaowaita baba nakumbuka kuna topiki kule kwenye mapenzi na mahaba imeanzishwa ili kutaka ukweli uelezwe au ufichwe ,naona sasa waTanganyika wengi watakuwa na wasiwasi juu ya baba zao ,hii ni habari ya kusikitisha na ilifaa isitolewe kwenye vyombo vya habari.
Kwa nini tatizo liwe kwa Watanganyika tu? Kwani ni nani ana uhakika wa asilimia 100 kuwa baba yake ni baba yake kweli?
Labda kama mnafanana kama chupa za bia, na wenye bahati hiyo ya kufanana na baba zao kiasi hicho ni wachache mno.
Kama George W. Bush na George H.W. Bush....
You can not generalize the findings from these 250 individuals to all the fathers in Tanzania because they are not a representative sample of Tanzanian fathers. It's a highly selected group of people with parental dispute.
It's like going to medical ward in Muhimbili, screen all the 100 patients in the ward for HIV and find that 40 of them are infected, then you come and say hey, the prevalence of HIV in Tanzania is 40%. See, that is wrong.
So, I don't dispute the results but they should never be generalized to the general population in Tanzania.
Thanks.