60% of Tanzania male parents were not the biological fathers - Nendaeni mkapime

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers

The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed parentage cases in the year 2005/2006, at least 60 per cent of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children.

Speaking in Dar es Salaam on Friday, the Chief Government Chemist, Ernest Mashimba, said that the agency receives samples from the department of Social Welfare and registered lawyers and not from individuals.

He said that in 2005/6 it received 250 cases for DNA testing on parentage dispute whereby 150 fathers were proved to be only custodians and not biological fathers.

Only 100 fathers were proved to have biological linkage with the children.

Mashimba said in 2006/07 the agency received another 209 samples for DNA testing on disputed parentage cases. The result were that 53 per cent were biological fathers against 47 per cent, who were not.

``We also use DNA samples in criminal investigations, identification of victims of mass disasters, verifying the identity of human disorders, determining whether a biological material is of human origin, etc ,`` he said.

He said in criminal cases the agency received 28 samples in 2006/7 and that among them 21 percent of the samples involved the suspects with the incidents while 79 percent were not involved with the case.

He further said that during the same period, the agency also received 31 samples of rape cases and that after conducting the DNA test it was discovered that only 3 per cent of the samples were involved with the cases while 97 per cent were not involved with the criminal offences.

He said that every person is genetically unique and genetic compositions do not change through life.

Expounding, he said an individual inherits genetic compositions from both parents.

Mashimba said that in rape cases, semen samples can be used to link the suspect to the samples provided.

He said that in essence, DNA evidence is in principal becoming an irrefutable identification proof and it is useful for excluding the innocent from the case in question.

Ikiwa 60% ya watoto wa Tanzania bara hawahusiani nawanaowaita baba nakumbuka kuna topiki kule kwenye mapenzi na mahaba imeanzishwa ili kutaka ukweli uelezwe au ufichwe ,naona sasa waTanganyika wengi watakuwa na wasiwasi juu ya baba zao ,hii ni habari ya kusikitisha na ilifaa isitolewe kwenye vyombo vya habari.
 
You can not generalize the findings from these 250 individuals to all the fathers in Tanzania because they are not a representative sample of Tanzanian fathers. It's a highly selected group of people with parental dispute.

It's like going to medical ward in Muhimbili, screen all the 100 patients in the ward for HIV and find that 40 of them are infected, then you come and say hey, the prevalence of HIV in Tanzania is 40%. See, that is wrong.

So, I don't dispute the results but they should never be generalized to the general population in Tanzania.

Thanks.
progress.gif
 
Umezitumia vibaya hizo stats, sio 60% ya wananchi wote.
Ni 60% ya waliokua kwenye disputed parentage cases, ambao wana higher risk ya kutokua wazazi.
Kujua percentage ya watanzania ingebidi wachukua random sample ya population.
 
Hahaha! We posted at almost the exact same time! You beat me by a few seconds:(
 
DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers

Ikiwa 60% ya watoto wa Tanzania bara hawahusiani nawanaowaita baba nakumbuka kuna topiki kule kwenye mapenzi na mahaba imeanzishwa ili kutaka ukweli uelezwe au ufichwe ,naona sasa waTanganyika wengi watakuwa na wasiwasi juu ya baba zao ,hii ni habari ya kusikitisha na ilifaa isitolewe kwenye vyombo vya habari.

hafadhali bara wanaenda kupima...
ZNZ wakienda kupima watakuta 70%
watu wa ZNZ tunapenda kuzungukana
 
Frankly,

Hii ni sawa na kusema "99% ya viongozi wa serikali ya awamu ya nne ni mafisadi" na statement hiyo itolewe baada ya kuwafanyia evaluation viongozi 14 tu katika serikali hiyo.

Unfair I may say!
 
matatizo ya kutafsiri takwimu! 60% ya wale waliokuwa na mashaka juu ya paternity na siyo 60% ya wazazi wote wa kiume TZ!hUU NI UPOTOSHAJI ..UNAPELEKEA WANAWAKE WAONEKANE VIBAYA MBELE YA JAMII!
 
DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers
Should be re-stated: 60pc of male parents of disputed parental cases are not biological fathers.

The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed parentage cases in the year 2005/2006, at least 60 per cent of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children.
There is no mention of Tanzanian fathers here, so the Government chemist did not mislead anybody.Mwandishi wa habari wa mwanzo, na huyu jamaa aliyeileta humu ndio vichwa vyao vya habari vinatu-confuse; na ndio lengo lao, bila controverse hamtakuwa na interest sio!

He said in criminal cases the agency received 28 samples in 2006/7 and that among them 21 percent of the samples involved the suspects with the incidents while 79 percent were not involved with the case.
Kwa hiyo hapa pia angekuja na conclusion kuwa 79% ya watu walipo jela wamesingiziwa!

Tuwe tunasoma habari na kuzitafakari la sivyo tutalishwa sumu hivi hivi.
 
Statistically hiyo sample space ni ndogo sana, hatuwezi ku-conclude kuwa 60% sio Biological Fathers. watu 250 kati ya mababa wasiopungua milioni 10, differece ni kubwa sana.
 
Keep in mind that the basis of the dna tests was that of disputed parenthood. In that case one would expect such results.
 
Thanks Mkuu, actually in that scenario results were supposed to higher because of the expected reasons za disputes.

Generally this tells us that infidelity na ukosefu wa uaminifu upo... na kwa sasa hapa bongo hali ni mbaya, watu hawaheshimu kabisa wanandoa wala ndoa zenyewe
 
Keep in mind that the basis of the dna tests was that of disputed parenthood. In that case one would expect such results.

Pamoja na maoni mazuri ya wadau, naomba kutahadharisha watu wanaodhani kuwa kupima DNA kunasaidia kujua kama watoto ni wako. Kama walivyosema wachangiaji, sampuli zilichukuliwa kwa watu waliokuwa na ugomvi tayari kwa hiyo walikuwa na sababu ya kutaka kutatua tatizo. Mimi ni mzazi na nafahamu kuwa kuna wakati mtu anaweza kujiuliza kama watoto wote anaotunza ni wake. Hata hivyo, hakuna sababu ya kwenda kupima DNA kama hakuna ugomvi. Wazee wetu walikuwa na busara sana kutoka na msemo kuwa "kitanda hakizai haramu". Kama watoto wote wanarandana na hakuna aliyetofauti saana na wenzake au anafanana sana na mtu ambaye ndiye baba halisi (yaani aliyekuibia) basi ni vizuri kuachana na mambo ya kukimbilia technolojia tusizojua madhara yake. Pamoja na takwimu hizi kuchukuliwa vibaya, ushauri kwamba watu wakapime DNA kujua kama watoto ni wao ni mbaya sana na haufai.
 
Wabongo tunapenda sana kukubali ukweli wa mambo yaliyo wazi, takwimu hizi ni very alarming and based on them I conclude this,

"Hapa Tanzania kwa wanaume waliooa au wenye wapenzi ambao wana wasiwasi na mtoto/watoto kuwa ni wao uwezekano wa kutokuwa wao ni zaidi ya asilimia 60%"

Siwezi shangaa kwa hapa Bongo kama sample itachukuliwa ya watu hata 1m asilimia ikawa zaidi ya 60 na huu ndio ukweli accept or deny it.
 
matatizo ya kutafsiri takwimu! 60% ya wale waliokuwa na mashaka juu ya paternity na siyo 60% ya wazazi wote wa kiume TZ!hUU NI UPOTOSHAJI ..UNAPELEKEA WANAWAKE WAONEKANE VIBAYA MBELE YA JAMII!

kwa hali hiyo sasa wakati umefika kuweka ukweli mezani ili kuondosha wasi wasi kwa wazazi na watoto wao,wakati umefika kwa familia kufanya DNA ili familia ziondowe wasiwasi na kuishi kwa furaha na mapenzi zaidi kwa kuelewa ukweli na sio dhana zilozoenea katika jamii ya kileo.
 
BJ, sina hakika kama unaongea hayo ukiwa mzazi au la. Pia sina hakika kama unaangalia maslahi ya wote wakaokuwa wahanga wa uamuzi huo wa kwenda kupima DNA bila sababu ya msingi. Kama kuna mtu ana wasi wasi kwenye ndoa yake basi huyo ana sababu ya msingi ya kwenda ustawi wa jamii kufungua mashtaka ili wamsaidie kufanya vipimo vya DNA. Hata hivyo mtu wa namna hiyo hatakuwa anatafuta amani kwenye ndoa yake, bali anataka kufikia mwisho wa hiyo ndoa. Majibu yatakuwa na madhara makubwa kwa watoto pia. Hebu fikiria mtu ambaye umeamini ni baba yako hadi unafikia miaka labda 15+; na amekulea vizuri ikiwa ni pamoja na kukupatia elimu, leo unaambiwa si baba yako. Wakati huo huambiwi baba ni nani. Tuache utani na kuparamia mambo. Huu si mchezo wa kukimbilia. Lakini pia ujue wapimaji ni watu. Kwa hiyo kama mama ana wasiwasi anaweza kuamua kuwa fisadi na ukapewa majibu mazuri tu ili roho yako ifurahi, kumbe changa la macho. Hii si kazi rahisi kama tunavyoongea hapa.
 
You are wrong, wewe ndo unaweza kuwa mtoto wa pembeni mwa ndoa ya wazazi wako. sisi wenzio tumezaliwa kwenye ndoa, na tunafanana na baba zetu kama nini. familia zetuni wacha Mungu hatuhitaji hata dna. pole.
 
Hizo tunaziita hasira za mkizi ,hoja imeshatolewa na watu wa serikali yako ya CCM, (DNA) nilitaraji kwa kuwa kibosile mmoja wa polisi yule Mahita ana kesi ihusianayo na jambo hilo kwanini isidaiwe kupelekwa kwenye kufanyiwa uchunguzi ? Ili ujulikane ukweli lakini kesi wameizima ili kulindana.
 
DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers

The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed parentage cases in the year 2005/2006, at least 60 per cent of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children.

Speaking in Dar es Salaam on Friday, the Chief Government Chemist, Ernest Mashimba, said that the agency receives samples from the department of Social Welfare and registered lawyers and not from individuals.

He said that in 2005/6 it received 250 cases for DNA testing on parentage dispute whereby 150 fathers were proved to be only custodians and not biological fathers.

Only 100 fathers were proved to have biological linkage with the children.

Mashimba said in 2006/07 the agency received another 209 samples for DNA testing on disputed parentage cases. The result were that 53 per cent were biological fathers against 47 per cent, who were not.

``We also use DNA samples in criminal investigations, identification of victims of mass disasters, verifying the identity of human disorders, determining whether a biological material is of human origin, etc ,`` he said.

He said in criminal cases the agency received 28 samples in 2006/7 and that among them 21 percent of the samples involved the suspects with the incidents while 79 percent were not involved with the case.

He further said that during the same period, the agency also received 31 samples of rape cases and that after conducting the DNA test it was discovered that only 3 per cent of the samples were involved with the cases while 97 per cent were not involved with the criminal offences.

He said that every person is genetically unique and genetic compositions do not change through life.

Expounding, he said an individual inherits genetic compositions from both parents.

Mashimba said that in rape cases, semen samples can be used to link the suspect to the samples provided.

He said that in essence, DNA evidence is in principal becoming an irrefutable identification proof and it is useful for excluding the innocent from the case in question.

Ikiwa 60% ya watoto wa Tanzania bara hawahusiani nawanaowaita baba nakumbuka kuna topiki kule kwenye mapenzi na mahaba imeanzishwa ili kutaka ukweli uelezwe au ufichwe ,naona sasa waTanganyika wengi watakuwa na wasiwasi juu ya baba zao ,hii ni habari ya kusikitisha na ilifaa isitolewe kwenye vyombo vya habari.

Hii statistics ni kwa watu wa Pwani ambao mwanamke lazima awe na figa tatu au 6 hivyo hiyo conclusion ya 60% or more is very correct. Sample imetolewa Dar/Pwani na si mikoani, kwa hiyo wale wanaopenda wanawake wa pwani utalea watoto ambao siyo wako.
 
Wewe umepotea maboya, wapi wamesema sample ni za watu wa pwani/Dar?
 
Back
Top Bottom