Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
sikatai kwamba hakuna computer za ovyo ovyo zinaletwa kama 'misaada'. Kuna kundi la wasanii na wengi ni wenzetu wanaofanya haya ili kujipatia cheap popularity.
kama ushirombo alivyosema, hizi ni ibm computers sio zile wanaziita clone.
Computer zilizo cafe ziko slow kwa sababu kadhaa, mojawapo ni virus au ni clone pc (zile zisizo hata na brand name)
.
sasa powersupply ya ibm ikifa utaipata wapi au hiyo compaq ? Moja kwa moja hupati labda uagize kutoka huko huko na itakuwa gharama sana ungekuwa na clone then powersupply yake ziko mjini zimejaa tele , unaweza kutengeneza clone pc ikawa fast kuliko unavyotegemea wewe , nyingi za cafe wanatumia cytrix mainboard ambazo ni sawa na p3 tu