Having said all that I have said.
I want to emphasize kwamba, kama nilivyosema mwanzo, sitetei ujinga.
Wabunge wetu wenye degree tu ni vituko.
Sasa ndio maana wakuu wanaona bora watumie rule of thumb tu kuwatenganisha "the sheep from the goat" kwa kutumia degree, kitu ambacho si sawa.
Ila ukweli ni kwamba wabunge wetu wengi- degree or not- hasa wale walioibuka ibuka tu bila kupata world class exposure, wanatia kichefuchefu.
Mtu unaweza kuwa unasikiliza mchango wa mbunge ukaamua kuflip channel au kuzima redio.
Kwa sababu hata ukiondoa swala la substance, presentation tu tabu unamsikiliza mtu ana meander ovyo kama an inexperienced teenager unexpectedly exposed infront of a massive crowd.
We ma experienced lawyers walio graduate toka 1975 huko kina Mizengo Pinda, wamekaa usalama wa taifa na ikulu wakaenda kuwa wabunge na mawaziri all those years tunasikia wanavyochemka kila siku.
I shudder to equate degrees and usomi. Kwa sababu hao kina kabwela ndo itakuwa ajabu. But that need not be reduced to a rule of thumb.There is always an outlier.
And we don't want to be so simplistic to dishearten the occassional brilliant Mnyika sans degree.
msingi sio kujima wananchi nafasi au haki ya kuongoza.
tujiulize pia, kuweka umri kulilenga nini?
wakati sheria inatamka walau darasa la saba haikubagua watu? by then wananchi wote walikuwa wamefikia std 7? au wote walikuwa wanajua kusoma na kuandika?
wenye degree walikuwa wangapi?
sasa hivi tuna mazingira gani?
kipindi kile tulikubali walimu wa upe,tukaja div 4 ndio ufaulu wa kwenda kusomea ualimu, sasa tunataka wanaosoma ualimu wawe wamefaulu vizuri... kama tunaamin katika hayo, kwa nini tusiaminikuwa kuwa na mbunge msomi kuna nafasi kubwa ya kuwa na ufanisi kuliko kuwa na akina TALL WATER?