50yrs ya Uhuru (9 December) yasababisha ukata kwa wafanyakazi wa serikali na Mashirika yake

Neng'uli

Senior Member
Aug 1, 2011
126
33
Habari zilizonifikia hivi punde zinasema,
Wafanyakazi wengi wa serikali hawajapata mshahara mpaka sasa, Jamaa alisema ! This month gona be disasta, si unajua Hazina walipitisha malipo ya kila idara kusheherekea miaka 50 ya uhuru kivyake vyake, na pesa nyingi inatakiwa kwa ajili ya tar 9, so sijui itakuwa vipi maana mpaka sasa fungu la mshahara halijatawanywa!

 
Hatimaye leo serikali imejitahidi kulipa mishahara tarehe 05.12.2011. Miaka 50 ya uhuru haikuwemo kwenye bajeti hivyo kugharimu serikali fedha nyingi kwa upuuzi.
Nitafurahi sana siku serikali ikishindwa kulipa mishahara ya watumishi wake kutokana n matumizi ya kizembe na yasiyo na tija kwa taifa kama haya.
Heko serikali kwa kujichombia kaburi kutokana na matumizi ya kipuuzi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom