5000 inatosha?

DJ BABU

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
209
0
Wadau kama vipi tuliangalie hili hapa
wanafunzi wa vyuo wana lalamika kuwa
5000 kwa siku wanayopewa na heslb ni kidogo
wewe unatazama vipi hii na maisha yalivyo hivi sasa bongo?
Je inatosha?
 
@dj babu,utamu wa ngoma uingie ucheze... elfu 5 haitoshi ,unajua wot me nimesha-experience wakati nasoma pale udsm na nilikuwa naishi maisha ya kawaida ya kimaskini,ckia hesabu na mgawanyo wa pesa hyo...chakula-1000 (chai,maji)Mchana (1500)usiku(1500) then kuna hela ya chumba per day(300)nauli (500) then hapo bdo stationary photo copy itafika hadi elfu mbili au tatu kwa siku ,vp inatosha au vp?tafakari
 
hiyo mi fisadi pocket money za watoto wao wa primary ni zaidi ya 5000
 
@babu,nimekumbuka kumbuka hapo sijaweka matatizo yanayoweza tokea kama ugonjwa na cost ya malipo ya dawa na vipimo bodi ya mikopo haijaweka kabisa ,so where wapate hela wakati many of them stil un-employed ...chukua hatua ktk hlo babu vp elfu 5 inatosha au?
 
Kuna mtanzania hata maana ya chai hajui nini! mie nafikiri, hawa vijana waandamane kupinga hali ngumu ya maisha yanayomkabili kila mtanzania, pili wapinge matumizi mabaya ya pesa kama vile kutaka kuwalipa dowans halafu waseme serikali iwajibike kwenye kunyanyua maisha ya watanzania wote, sasa wakipewa leo 10000 halafu inflation ikafika 30% kesho wataandamana tena? UBINAFSI UNAWASUMBUA KAMA UNAVYOTUSUMBUA WATANZANIA WENGI. na nikurebishe hapo kwenye red, stationaries allowance huwa inatoka separately (ingawa ni kidogo, wakati wetu ilikuwa 120,000).

Nieleweke kwamba sisemi kuwa 5000 inatosha ila kulingana na hali ya nchi na umaskini uliokithiri vijijini, hiyo excess ya 5000 bora ielekezwe vijijini na kuanzia sasa tupunguze idadi ya wanafunzi wanaokwenda vyuo vikuu kurundikana wakati ubora wa elimu unazidi kushuka, ni mara mia tuhamishie hizo pesa nguvu kwenye vyuo vya ufundi ili tupate watu watakaoweza kuzalisha "real (tangible) products" kuliko kuendelea ku train watu watakaokuja kufundisha historia, siasa na geograpghy (ndio idadi kubwa ya wanaosomea ualimu pale mlimani).

USHAURI: Vijana wa UDSM kugoma kunakuwa kuzuri mnapokuwa na madai yenye mvuto kwa jamii, kwa hili la kutaka 10000, wengi watawapuuza, cha msingi badilisheni ajenda zenu, jikiteni kwenye maslai ya taifa zaidi, tena na jinsi upepo ulivyo kwa sasa, mtapata support kubwa lakini mking'ang'ania 10000 mara mnamrukia KIBONDE (mmoja kati ya vilaza wakubwa ninaowafahamu) watu watawaona na nyie ni kama Kibonde tu tofauti ni kwamba KIBONDE hajafika chuo kikuu na nyie mmefika.

Alamsik!
 
hiyo mi fisadi pocket money za watoto wao wa primary ni zaidi ya 5000

sasa hao mafisadi ndio vijana walitakiwa waandamane na kuanza kuwatandika mawe sio mtu mpuuzi kama kibonde ageuke ajenda ya mgomo.
 
wadau kusema ukwel 5000 haitosh kabisa na kwa maisha ya hv sasa dah! Mana hyo 10000 yenyewe haitosh kwa m2 binafsi kwasababu malecture wana2jaza macopy mpaka kero yan unaweza kutoa copy kwa cku had 2000
 
@babu,nimekumbuka kumbuka hapo sijaweka matatizo yanayoweza tokea kama ugonjwa na cost ya malipo ya dawa na vipimo bodi ya mikopo haijaweka kabisa ,so where wapate hela wakati many of them stil un-employed ...chukua hatua ktk hlo babu vp elfu 5 inatosha au?

hata mie nimesoma mlimani, hizo 2000 za copy kila siku unaphotocopy nini? wewe utakua ni moja ya wale wenye uelewo mdogo wasiojua kipi cha kukopy kipi cha kuacha, we utakua kila unachokiona unpiga copy tu!

5000*30 =150,000 wafanyakazi wangapi wa serikali wanachukua take home ya 150?
 
kwa mimi ninavyodhani, kama serikali ingeliweka miundombinu sahihi kwa ajili ya wanafunzi, elfu 5 ingetosha, but wanafunzi hawajaekewa miundombinu sahihi. Pale udsm, 65 percent ya wanafunzi hawapati hostel, they hav to go rent houses off campus,, kulipa kodi ya chumba cha bei ya chini kabisa ni atleast 40000, bado maji, bado umeme, bado nauli, how do u think mwanafunzi ataishi..??? Although mgomo wenu wa ud ulikua mzuri, but mlipaswa kujipanga zaidi na sio kukurupuka tu na kusema mnataka kulipwa 10000:..wangeomba mambo kama kujengewaa hostel, kuboreshewa vitu kama maji na services nyingne ndani ya hostels n.k.
 
@architect,we ni wa ukweli na for sure your among the thinkers,yani ukienda hostel hali inatisha,rum hakuna then kinachofwata ni kuenda kupanga mtaani na life c mchezo as you say,naona hawa madogo warikurupuka na hawakujipanga vyema kama wangejipanga sure ingesound nationwise,wot i thnk ni kama hawakutambua watumie approach ipi?bt i still instist let them have strong arguments then serikali yetu inawajali wananchi hopeful watawasikiliza,thank you architect may JAH widen capabilitiy of arguing,thanx once again i gotcha ya
 
kwa mimi ninavyodhani, kama serikali ingeliweka miundombinu sahihi kwa ajili ya wanafunzi, elfu 5 ingetosha, but wanafunzi hawajaekewa miundombinu sahihi. Pale udsm, 65 percent ya wanafunzi hawapati hostel, they hav to go rent houses off campus,, kulipa kodi ya chumba cha bei ya chini kabisa ni atleast 40000, bado maji, bado umeme, bado nauli, how do u think mwanafunzi ataishi..??? Although mgomo wenu wa ud ulikua mzuri, but mlipaswa kujipanga zaidi na sio kukurupuka tu na kusema mnataka kulipwa 10000:..wangeomba mambo kama kujengewaa hostel, kuboreshewa vitu kama maji na services nyingne ndani ya hostels n.k.
Kwani hawakushauriwa? Au hawafahamu kupresent matatizo yao kama wasomi watarajiwa?
Nao wataonesha uchache wao wa uelewa!
Hii nmeikubali 99.9%.
 
@ndevu mbili,hyo 0.1% unampatia nani?acha kumbania architect au hyo ni yako ,teh teh teh teh teh,magreat thinkerz bwana mna mambo,anyways am proud of you all and i feal blessed to have u pals.
 
Naomba ieleweke jamani, kuna madai ya kuelekezea bodi na kuna yanayohusu taasisi husika. Na yote yana uzito wake kwa nyakati tofauti, kama mlivyoona, mfumuko wa bei ni mkubwa sana, kwa sasa tunahitaji kukabiliana zaidi na hilo kuliko mengine!
 
jamani jamani,hawa dada zetu wa pale udsm na vyuo vingne wanapata shda hasa kila mwisho wa mwezi wakiwa wanaelekea mwezini kuna mahitaji yao yale bodi hawajawawekea ?kuna braza wengne ambao pia wanasoma pale bodi imekuwa ikiwatupa na kuwasahau kwa muda mrefu yani hawaelewi wanavaa nini?yani hawa jamaa na serikali wanakera,anyways it can be done let them play their part.
 
Back
Top Bottom