50%ya kesi za ndoa ni """uzinzi"+""uasherati"

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Wanandugu nimekaa nikafanya exp yangu ndani ya ndoa na kuangalia watu mbali mbali walioathirikka na ndoa nimeona kesi nyingi zimedondokea kwenye uzinzi uasherati na ufiraji...
leo hiiniimekuja tusaidiane je haya mambo mbona yameandikwa tangu kwenye vitabu vya dini..watanzania mnaonaje badala ya kumdanganya MUNGU na wazazi wenu pale madhabahuni kwa kugawa soda na vyakula mkaamua kubadilika..ni wakati muafaka wa kusaidiana tuweze kuendelea kuonana hapa jf maana kumbuka tusipokumbushana tunaita kaugonjwa ketu kanyumbani na hivyo siku utakapoondoka hata kukuona kwenye matangazo madogo madogo atutakuona.....embu achanan na haya madhambi ya ajabu ajabu yanakwepeka najua mnaweza sehemu ama kujitete kila mtu kwa muda wake...embu jipanguse nasema jipanguse sasa
 
rrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaah rrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaah me nishajipangusa :confused2:
 
UASHERATi au UZINZI ingetosha kufikisha ujumbe kwenye heading/stori yako.....
 
Jamani naomba Mods warekebishe hiyo heading.
Kuna neno moja linanipa kichefu chefu otherwise mada ipelekwe kwenye lile jukwaa la kiutu uzima.
 
ok mod msaada
mi nimeona tuelezane hali halisi wapo wachafu wa matendo hayo atuna budi kuwaficha kwa jina la uzinzi
 
Back
Top Bottom