50 most influential Africans

Africa report? Patrick smith? This list is prepared by one man sitting in London.. where is the credibility?
where is Malema? Where is Mugabe?
Where are the western Anti-Heroes that dare defy?
 
Africa report? Patrick smith? This list is prepared by one man sitting in London.. where is the credibility?
where is Malema? Where is Mugabe?
Where are the western Anti-Heroes that dare defy?
thanks

wazungu hasa waingereza wako obsessed sana na old glory and rating, wanahangaika sana
 
Tumeshindwa na wa Congo? Kenya wameng'ara sana!! Tanzania tupo nyuma sana labda ki-propaganda,umasikini na ufisadi hapo tunafanya vizuri.
 
thanks

wazungu hasa waingereza wako obsessed sana na old glory and rating, wanahangaika sana

Every African is influential.

Yule muuza matunda wa Tunisia ambaye hakujulikana wala kuwa na influence yoyote ya kusema angalia alivyoanzisha a snowball effect imeleta repercussions za kutikisa dunia nzima.

Hii thinking iko so lateral na rankings kama hizi zinakosa kuangalia dynamics za kuangaliwa kikweli na ku focus kwenye mambo superficial.
 
you can say that again buddy.......... i hate dem shoddy analyses (i think all they want is to corrupt a few minds for their own gains):nono:
 
sikubaliani nayo wapi mwigulu nchemba, nape, steve wasira...hao ndo magenius wa ccm halafu hawapo....noooo way
 
Mr. President..... why not mentioning me, wanatoa list wakiwa wanapata wine, tena Ulaya, i am most influential dude..... seriously...
 
Back
Top Bottom