50 Greatest Tanzanians (minus politicians)

Kuna mtu kamuweka riziwani...Hugo ni mwanasiasa bora miraji..though wote bado..",bora uwaweke capt John na capt Andrew Nyerere(jet fighter pilots) ,walikuwa watoto wa kwanza wa sitting president kupigana mstari wa mbele Uganda....pamoja na mdogo wao capt .makongoro.

Kuna kina ,Dendego,Mzena wakuu wa mwanzo kabisa wa Tiss,..kuacha kinaa Lau Gama na Hassan Kitine...ambao wao baadaye waliingia..siasa..",
Tuna majemedari wa vita na jeshi letu kwa ujumla......wotte wastahili kuenziwa miaka 50 ya Uhuru.....
kuna kundi la wanamichezo waliotia fora nao ni mashujaaa...
Kuna wa iota ya mambo yaliyookoa maisha ya mamilioni Kama yule sajenti wa Kikosi cha zimamoto ..aliyejitoa muhanga kupita katikati ya moto kwenda kuzima tank lililokuwa linaungua kwenye katakana ya mafuta na gesi pale ubungo....Kama sio yeye matenti yenye mafuta na gesi kwa mamilioni ya ujazo yanelipuka....Mazda yangetokea ya ajabu nadhani kuanzia ubungo Hadith sinza yote Hadi relini mabibo Kungeenea moto.

Wapi wengi wengi ...na ni kazi inayotakiwa kufanywa kwa kuwashirikisha watu ma background ,na umri tofauti...otherwise unsung heroes watakuwa wengi.....waasisi wa Uhuru nao watafutwe ili wale mashujaaa wa Uhuru ambao hawakuenziwa nao wawepo

Makongoro nae ni capt?
duh,ni vyema kuwajua watu hawa sasa na sio kusubiri
wamekufa ndo tunaanza kujua kumbe nae alipigana vita vya kagera
 
1. Sokoine aliyektwa waziri mkuu mzalendo, alikua akisimamia shuguli za maendeleo na hakua mwizi, alikua akiridhika na kile alichokipata kwa.
2. lyatonga mrena ambae alikua na msimamo ktk uongozi wake, kiongozi wa kwanza wa upinzani kushinda urais japo waliibiwa na ccm kura
 
Msisahau kutuambia na aliye tunga wimbo wa taifa jamani.
Na maelezo kuhusu yule aliye kua anapiga ngoma kabla ya taarifa ya habari RTD
 
1)Throughout the 1990-2009, the reporters who relentlessly reported on the Valambhia case, even when their lives were under constant threats.
2)The Judges at the HC and the COA who issued the arrest warrant for the late BoT gov. for not obeying court rulings, orders.
3) The newspapers that printed the articles on the Valambhia case, especially the 2009 recent suppressed article titled "The most expensive legal suit in Dar's history" by Richard Mgamba which exposes the corruption in the case. However, the article is suppressed!

The Valambhia case is a historical milestone in this country. It cannot be just brushed under the carpet, ignored. There was a time in this country when courageous men stood up to the injustice, the corruption and the corrupt. They stood up for Justice and human rights, same way as Mwalimu Nyerere had stood up for Justice and Human rights. Today, the voices of those men are silenced forever. One cannot forget that their names and actions are embedded in the Tanzanian soil forever.
FYI-
20 years out of 50 years of independence has been spent on this case, which is incurring unnecessary cost to the Tanzanian public. The case was determined Final & Conclusive in 2003, by the highest court of the land, the COA and no rulings, Judgements of the highest court of the land were ever obeyed. In fact, they were flagrantly disregarded! Today, this so called case is in the words of one senior Bot official, "a cash generating machine of few TZ officials and friends, and no one cares to stop it." And articles on it are suppressed.
 
  • Shaaban Robert (Marehemu sasa)- Sina haja ya kumsemea sana.

  • Thabiti Nassoro Lipangile (Marehemu sasa) - Huyu alikuwa mtanzania wa kwanza kuhimiza utumiaji wa teknolojia ya mianzi miti, akapewa heshima ya pekee kabisa wakati wa uongozi wa Mwalimu Nyerere. Jaribu kufikiria hadi mwanzoni mwaka 2000 baadhi ya makalavati yalitengenezwa kwa kutumia treated timber hasa kwa barabara ziendazo vijijini. Teknolojia hiyo hakuendelezwa na zaidi imepigwa zengwe na "sisi hawahawa na imekufa kifo cha kawaida.
  • Niko Zengekara (Marehemu sasa) - Mwibaji wa kibao kiitwacho Solemba kilichopigwa na JUWATA Jazz Band, alikuwa ni mlemavu wa macho(Kipofu). Hata hivyo alikuwa mahiri sana awapo stejini
  • Mzee Mwanakijiji - It goes without saying.
  • Sembuli, Zamoyoni Mogella...Ntarudi, tena ngoja nilale niote ndoto flaniflan hivi.
 
Kusherekea 50 years naomba mtuletee list ya 50 greatest Tanzanians (tukimtoa Nyerere na wanasiasa ambao tushawajadili sana)

Itakuwa si vibaya mkatuletea na sababu why these unsung heroes are great

Si lazma mje na list ya majina 50 lakini muhimu ni kutuambia kwa nini hawa watu japo hawaenziwi na watawala wetu lakini muhimu kuwajaua na michango yao kwenye historia ya Tanzania.

Personally nitaanza na Mashado Plantan ambaye nilikuwa simjui mpaka member mmoja humu alipoingia na jina lake na nikatafuta wasifu wake. Mashado was the original INVISIBLE wa enzi zake kwani alikuwa ni Mwafrika Mtanzania wa kwanza kuanzisha Gazeti lake lilikuwa linaitwa ZUHURA in the 1950's !

Shabani Robert - Kwa uandishi wake.
Filbert Bay - Kwa kuipatia sifa Tanzania ki - mataifa kwenye mbio za riadha.

Kusherekea 50 years naomba mtuletee list ya 50 greatest Tanzanians (tukimtoa Nyerere na wanasiasa ambao tushawajadili sana)

Itakuwa si vibaya mkatuletea na sababu why these unsung heroes are great

Si lazma mje na list ya majina 50 lakini muhimu ni kutuambia kwa nini hawa watu japo hawaenziwi na watawala wetu lakini muhimu kuwajaua na michango yao kwenye historia ya Tanzania.

Personally nitaanza na Mashado Plantan ambaye nilikuwa simjui mpaka member mmoja humu alipoingia na jina lake na nikatafuta wasifu wake. Mashado was the original INVISIBLE wa enzi zake kwani alikuwa ni Mwafrika Mtanzania wa kwanza kuanzisha Gazeti lake lilikuwa linaitwa ZUHURA in the 1950's !

Muhimu wawe wanatoka from all walks of life kasoro wanasiasa.

we might learn a thing or two

Marehemu Remmy Ongala. Wote tunamfahamu humu ila kuna moja alilowai kulifanya ktk mziki wake ila likapuuzwa na wengi na kupigwa vita sana bila kujua lina umuhimu sana mpaka sasa hapa Tanzania, Marehemu Remmy Ongala aliwai kutoa kibao chake kiliichoitwa MAMBO KWA SOKSI,katika nyimbo hii marehemu alikuwa anasisitiza matumizi ya condom kwa nia ya kupambana na ukimwi, ila kwa uongozi wa kipindi kile Remmy alionekeana anaimba matusi na nyimbo hii ikafungiwa na akaandamwa na serikali kwa kunyimwa uraiya kwa miaka mingi.Serikali isiyoheshimu na kutambua kazi ya fasihi ilikurupuka na kumpiga vita Remmy pasipo kugundua alikua anania ya kupotray ujumbe muhimu kuhusiana na ukimwi ambao mpaka sasa ni tishio hapa Tanzania. Nyimbo yenyewe bofya hapa utazame video yake:[video]eastafricantube.com[/video]
Rest in peace Dr.Remmy Ongala, milele nitaamini you are among the greatest in Tanzania.
 
Marehemu Stan Katabalo,mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi alikufa katika mazingira kiutata mara tu alipofichua kashfa ya Loliondo..

Mzee Sabodo kwa kuvunja kongwa la uoga katika kusupport demokrasia ya nchi hii. Kitendo chake cha kuchangia CDM ilhali yeye ni CCM. Hii imenipa kuamini kuwa hata biashara anazofanya ni safi, zingekuwa zimepinda kama za wenzake kina Subhash Patel & asingethubutu.

To be honest,hapa nakuunga mkono 100%.Mzee ruksa anajua alifanya ini hapa.Na ilikuwa around 1990's kama sijakosea sana.Sasa Mwarabu anatengeneza nchi yake ndani ya nchi?Aibu ilioje.JF mnajua ndani ya Loliondo unapokwenda kwa mwarabu getini pameandikwa Welcome to United Arab Emirate?Ndani ya Tanzania hii hii?Magamba for Life on Hell,Chadema for life on Heaven.Sasa hoja hapa Stan Katabalo naye ni shujaa wa kukumbukwa,msije sema nimehamisha mada hapana!!
 
Kuna mtu kamuweka riziwani...Hugo ni mwanasiasa bora miraji..though wote bado..",bora uwaweke capt John na capt Andrew Nyerere(jet fighter pilots) ,walikuwa watoto wa kwanza wa sitting president kupigana mstari wa mbele Uganda....pamoja na mdogo wao capt .makongoro.

Kuna kina ,Dendego,Mzena wakuu wa mwanzo kabisa wa Tiss,..kuacha kinaa Lau Gama na Hassan Kitine...ambao wao baadaye waliingia..siasa..",
Tuna majemedari wa vita na jeshi letu kwa ujumla......wotte wastahili kuenziwa miaka 50 ya Uhuru.....
kuna kundi la wanamichezo waliotia fora nao ni mashujaaa...
Kuna wa iota ya mambo yaliyookoa maisha ya mamilioni Kama yule sajenti wa Kikosi cha zimamoto ..aliyejitoa muhanga kupita katikati ya moto kwenda kuzima tank lililokuwa linaungua kwenye katakana ya mafuta na gesi pale ubungo....Kama sio yeye matenti yenye mafuta na gesi kwa mamilioni ya ujazo yanelipuka....Mazda yangetokea ya ajabu nadhani kuanzia ubungo Hadith sinza yote Hadi relini mabibo Kungeenea moto.

Wapi wengi wengi ...na ni kazi inayotakiwa kufanywa kwa kuwashirikisha watu ma background ,na umri tofauti...otherwise unsung heroes watakuwa wengi.....waasisi wa Uhuru nao watafutwe ili wale mashujaaa wa Uhuru ambao hawakuenziwa nao wawepo

Mzena unajua binti yake aliolewa na waziri gani?

Kitine kiboko yake ni Membe tuuu
 
1. Waanzilishi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania-TNGP kupitia wao wanawake tu emits bus na kujua haki zetu na wanaume wanatambua haki za wanawake na Makundi yaliyoko pembezoni.Sauti za Wanawake zinasikika nchini.

2. Mama Ananilea Nkya-Mwanaharakati asiyechoka wala kuogopa katika kutetea haki za wanawake na Makundi yaliyopo pembezoni hapa nchini.
 
greatest tanzanians...ni watu ambao hatuwajui kwa majina...but wanafanya hii nchi iende

pamoja na mapungufu yake...

kuna walimu wanafundisha kwa bidii wanafunzi huku mishahara ni midogo na maisha yao ni duni but wanatii wito..

wapo watu hawapokei wala kutoa rushwa huku wakiwa wana maisha ya kawaida tu.....

wapo watu hawachoki wala kukata tamaa na nchi hii ingawa inakatisha tamaaa sana...
 
Msisahau kutuambia na aliye tunga wimbo wa taifa jamani.
Na maelezo kuhusu yule aliye kua anapiga ngoma kabla ya taarifa ya habari RTD

Akiitwa Mzee Morris Nyunyusa....alikuwa na maajabu ya kupiga ngoma 12 huku akiwa kipofu......mkewe akipiga chupa.....nimepata kukutana na kwanaye mmoja Akifanya kazi store ya motel Agiip...sijui yupo wapi sasa.
 
Nadhani kutokana na michango ambayo imeshawekwa na kwakweli ni constructive.However kuna tunaopenda kuona majina ambayo hayana dalili zozote za status quo.Unless tunajaribu kuchambuwa chuya from mchele.Kwamba kuna waliochangia lakini status ya Taifa kwa ujumla si ya kuwa proud of.So ninafuatilia wale ambao hawajashiriki kwenye matokeo ya hali tuliyonayo vali wale ambao wanataka kuona mabadiliko na ambao mabadiliko kiduchu tuliyonayo,wao wako frontlines..Hao mliowataja hawana tofauti na kina Mwalimu,Warioba nk.Tunataka kizazi ambacho kiko wazi kupinga udhalimu na ufisadi wazi wazi.Wale walioambiwa kuwa malalamiko yao yatasababisha usalama wa mafisadi kupotea.
 
1. Erasto B. Mpemba - Mvumbuzi wa Mpemba Effect
2. Edward Said Tingatinga - Muasisi wa Tingatinga
3. Justinian Rweyemamu - Mtunzi wa Tasnifu ya Mpango wa Kujenga Viwanda Tanzania
4. Kamaradi Kompanero - Mgunduzi wa Modeli ya Maendeleo ya Ujamaa Mamboleo
 
The average Tanzanian Joe, ambaye ni mtu maskini, mwenye elimu duni, anayejitahidi kujitafutia riziki yake kihalali kila siku aidha kwa kuajiriwa au kujiajiri na utakutana nao kila siku kama wauza mboga sokoni, wauza magazeti, wauza samaki, wamachinga, wauza vocha, waosha magari, mama lishe, ma-waiter, wauza chapati na maandazi mitaani n.k. These folks are my true heroes!
 
1. bokoman mkongoma,
2. chidi chidi chitenda,
3. wajadi fundi,
4. limonga justin limonga,
5. chivalavala S. Chivalavala,
6. Issa Hassan Majeshi,
7. Jangala Kilongosi,
8. mwalimu Mashaka Sabuni,
9. Thomas Mushi Kimboka
10. Zakaria Ndemfoo
11.................................
 
Judge Eusebia Munuo, mwanamke wa kwanza Africa kuchaguliwa kuwa President wa IAWJ, mwanamke wa kwanza Tanzania kuingia Mahakama ya rufaa. She is also one of the few early champions (1977) waliotetea/shinikiza kutungwa kwa sheria inayompa haki mwanamke kumiliki ardhi. Mtunzi wa Sheria na Haki za Wanawake 1977. Mama Helen Kijo Bisimba co founder of Women Legal Aid center, Ex director of LHRC, Champion of Women FGM law.Marehemu Mama Mary Mwingira mwanaharakati, Betty Olotu (mwanamke wa kwanza kurusha ndege Tanzania),Wanajeshi wote waliotupigania vita vya Kagera (Late Gen. Mayunga & Co) etc.
 
1. bokoman mkongoma,
2. chidi chidi chitenda,
3. wajadi fundi,
4. limonga justin limonga,
5. chivalavala S. Chivalavala,
6. Issa Hassan Majeshi,
7. Jangala Kilongosi,
8. mwalimu Mashaka Sabuni,
9. Thomas Mushi Kimboka
10. Zakaria Ndemfoo
11.................................

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... kweli bange balaa, HAPO ONGEZEA AMOS NYANG'UYE NA RAMA J SAUNIGA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom