50 Cent Goes After Jay Z On Beanie Sigel's 'I Go Off'

Hujajibu swali Steve...

umeniuliza kama naiona hii kuwa ni beef ya maana, au siyo?!
Kama swali ndiyo hilo, sijajibu kwani hamna pahali niliposema hivyo. Ndiyo maana sikusita kuendelea na swali jingine kupata ufafanuzi wa maana halisi ya 'beef ya maana au ile isiyo ya maana' kutoka kwako.
 
Kwani wewe kuulizwa swali kuhusu jambo flani ni lazima uwe umesema kitu kuhusu hilo jambo? Huwezi tu ukaulizwa swali? Wee vipi bana...mbona wataka kuleta masharti ya kipolisi hapa...vipi sasa, utajibu au umegoma?
 
Oyaaaaa
Mimi nishamwaga mchanga
ANHXKH.jpg

Kama vipi;

xin_42090308100773297874.jpg
 
Jay wount respond to any of this, he think he is bigger than all that dissing ish (not realising that its part of the culture), see how he ignored 'the Game' after the dis track 'am so wavy', game even did tshirts branded DOH (death of Hova), I would love to see how he would fair in a diss, knowing how weak his flows are nowadays.
 
i would have not respond if i was Hov pia..the track is whack anyway!..hata yule groupie game kulikuwa na sababu gani ya kumjibu??ni culture smatta but watu wenye uzito sawa ndio wanastahili kulumbana..i was listening to an old kdg track ya sigel hapa(remember them days feat. eve),na nimefurahia kumsikiza sigel anavyomtukuza jay humu..
 
50 analiweza sana longolongo(stunts) za kuuza....ila sina hakika kama atafanikiwa this time...naona hata kwenye his new video 'do you think about me' amemuweka Vivica...anajaribu kupata kuongelewa auze...ngoja tusubiri wiki iishe tuhesabu copies maana ye ndio alianzisha huu ujinga wa kutambiana kwa mauzo.
 
Back
Top Bottom