50 cent ataja mbinu tano za kukufanya uache kupiga punyeto

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO

50-Cent.jpg

Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita!

Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It’s a dirty secret!

Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.
50-1.jpg

50-2.jpg

Kuna mtu aliniambia ukiona mtu viatu vyake pale mbele vinaangalia juu baada ya kuvivaa muda flani hata kama haviko hivyo ujue ni mpiga puri mzuri maana huwa anasimamia vidole hasa akiwa bafuni.
 
Jaribu uone usisikie la kuambiwa. Punyeto tamu, faida kibao! Ruksa hata kama una demu (kubadili ladha)
Najivunia kupiga punyeto:
1. It is free of charge (utelezi wowote kidogo tu unatosha)
2. It is 100% safe (hakuna cha AIDS, kaswende, kisonono, ukurutu, hepatitis, clamidia wala nini sijui)
3. It is always available (hakuna sijui leo sitaki naumwa, niko mwezini, sijisikii, nimechoka, hujaninunulia gari, hujanilipia kodi ya nyumba)
4. Kitu mnato wewe mwenyewe tu!
 
ha ha haaaa...mkuu umetisha!it is really true..
 
Jaribu uone usisikie la kuambiwa. Punyeto tamu, faida kibao! Ruksa hata kama una demu (kubadili ladha)
Najivunia kupiga punyeto:
1. It is free of charge (utelezi wowote kidogo tu unatosha)
2. It is 100% safe (hakuna cha AIDS, kaswende, kisonono, ukurutu, hepatitis, clamidia wala nini sijui)
3. It is always available (hakuna sijui leo sitaki naumwa, niko mwezini, sijisikii, nimechoka, hujaninunulia gari, hujanilipia kodi ya nyumba)
4. Kitu mnato wewe mwenyewe tu!

Ni kweli kiongozi hiyo namba 4, Ni wewe tu maana ukitaka mnato au bwawa unapata!
 
Jaribu uone usisikie la kuambiwa. Punyeto tamu, faida kibao! Ruksa hata kama una demu (kubadili ladha)
Najivunia kupiga punyeto:
1. It is free of charge (utelezi wowote kidogo tu unatosha)
2. It is 100% safe (hakuna cha AIDS, kaswende, kisonono, ukurutu, hepatitis, clamidia wala nini sijui)
3. It is always available (hakuna sijui leo sitaki naumwa, niko mwezini, sijisikii, nimechoka, hujaninunulia gari, hujanilipia kodi ya nyumba)
4. Kitu mnato wewe mwenyewe tu!

sio bure wewe ndo walewale waliotumwa kuhamasisha haki za wanawake
 
Back
Top Bottom