5.8 earthquake in Virginia felt in Washington, New York City and North Carolina

Mr.Right

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
408
69
[h=1]Congress, Pentagon, other D.C. areas evacuate after quake[/h]

NBC, msnbc.com and news services

updated 10 minutes ago 2011-08-23T18:01:33
breaking news
WASHINGTON — Thousands of people were evacuating buildings across the Washington D.C. area on Tuesday after a moderate earthquake miles away in Virginia that was also felt in the Northeast and as far south as Chapel Hill, N.C.
  • Parts of the Pentagon, White House and Capitol were among the areas evacuated.
Centered 87 miles from the nation's capital, the quake was a magnitude 6.0, the U.S. Geological Survey said.
At the U.S. Capitol, light fixtures swung and the building shook for about 15 seconds while the tremor hit, NBC News reported.
A mild tremor was even felt by NBC reporters with President Barack Obama during his vacation on Martha's Vineyard, an island off Massachusetts.
The earthquake’s epicenter was between Charlottesville and Richmond, Va., the USGS reported. It was 3.7 miles deep.
This report will be updated as information becomes available.
The Associated Press and Reuters contributed to this report.
https://www.jamiiforums.com/#
https://www.jamiiforums.com/#107Share
 
breaking news
WASHINGTON — Thousands of people were evacuating buildings across the Washington D.C. area on Tuesday after a moderate earthquake miles away in Virginia that was also felt in the Northeast and as far south as Chapel Hill, N.C.
  • Parts of the Pentagon, White House and Capitol were among the areas evacuated.
Centered 87 miles from the nation's capital, the quake was a magnitude 6.0, the U.S. Geological Survey said.
At the U.S. Capitol, light fixtures swung and the building shook for about 15 seconds while the tremor hit, NBC News reported.
A mild tremor was even felt by NBC reporters with President Barack Obama during his vacation on Martha's Vineyard, an island off Massachusetts.
The earthquake’s epicenter was between Charlottesville and Richmond, Va., the USGS reported. It was 3.7 miles deep.
 
Wakuu na mimi imenipata. Nilikuwa nyumbani kwangu ndo naanza kula lunch. Nimekaa kwenye kiti mara ghafla nasikia kiti kinayumba left/right na kinyago changu kimoja kuanguka kutoka ukutani. Mgeni wangu katika chumba cha juu akaja akikimbia kwa taharuki "uncle kuna nini?" Nikamwambia nadhani ni earthquake. Lakini tumesalimika.
 
Pole sana Jasusi....
 
Hii ni hatari ya Dunia. Japan ilitokea ktk East Coast, na sasa hivi USA ktk East Coast. After shock ndiyo inatia wasiwasi kama itatokea.
 
Niko schedule hapa napiga box na jengo lilikuwa linatikisika na watu wameingia kiwewe. Jamani tetemeko lisikieni tu unawezadhani kiama kimefika. Tunashukuru limeisha na tumepona
 
Pole mkuu, i can feel you..... i know what its like! Pole sana
 
And the frightening this is that we are not even on the faultline like people in San Francisco/Los Angeles. So I guess it could happen anywhere.
 
Wakuu na mimi imenipata. Nilikuwa nyumbani kwangu ndo naanza kula lunch. Nimekaa kwenye kiti mara ghafla nasikia kiti kinayumba left/right na kinyago changu kimoja kuanguka kutoka ukutani. Mgeni wangu katika chumba cha juu akaja akikimbia kwa taharuki "uncle kuna nini?" Nikamwambia nadhani ni earthquake. Lakini tumesalimika.

Mkuu Pole!!

Cha msingi Mmesalimika...na Tunamshukuru Mungu!!

Bythe way ..Kinyango chako vipi? Nachokilisalimika...(Lol) Maana kama kilivunjika na ulikitoa Bongo vimepada bei ....kwik kwik!!
 
Niko schedule hapa napiga box na jengo lilikuwa linatikisika na watu wameingia kiwewe. Jamani tetemeko lisikieni tu unawezadhani kiama kimefika. Tunashukuru limeisha na tumepona
Halijaisha bado !,ni mwanzo tu.Wewe na Jasusi rudini nyumbani haraka.Hilo taifa haliko salama kutokana na kufuru na unyama inaoendeleza kote duniani.Ikiwa muna ushujaa wa kubaki Michigan na Allabama basi nendeni kwa Obama haraka mumpatie tahadhari hii.Mueleze hii ni kutoka kwa Ami atakumbuka.
 
Ami,
Nakubaliana na wewe kabisa. Hii ni ishara kwamba natakiwa kurudi nyumbani haraka.
 
Halijaisha bado !,ni mwanzo tu.Wewe na Jasusi rudini nyumbani haraka.Hilo taifa haliko salama kutokana na kufuru na unyama inaoendeleza kote duniani.Ikiwa muna ushujaa wa kubaki Michigan na Allabama basi nendeni kwa Obama haraka mumpatie tahadhari hii.Mueleze hii ni kutoka kwa Ami atakumbuka.
Mkuu rizki na maisha hutafutwa popote duniani hata vitabu vya dini vimesema hivyo. Ndio maana hata hao wasomali wenye njaa wamejazana pale Minneapolis kwa maelfu hadi wamefungua Somali Malls, restaurants etc.Ama Wairan na wamejaa tele kwa mamilioni pale Detroit na Jersey.
Majanga ya dunia kama quakes, njaa, floods, tsunamis, etc. yanawezatokea kokote duniani na saa yoyote. Ajuae ni Mungu mwenyewe. Cha msingi Mungu ametunusuru leo hii na hili tetemeko hapa NYC.
Nashukuru kwa ushauri wako though!!
 
Wengine hawana Nauli ya Kurudi Bongo. Labda JK atatuma nauli ili WTZ waanze kuevacuated kutoka USA.
 
Niko schedule hapa napiga box na jengo lilikuwa linatikisika na watu wameingia kiwewe. Jamani tetemeko lisikieni tu unawezadhani kiama kimefika. Tunashukuru limeisha na tumepona

poleni sana..

7.3 September
halafu 6.3 in Feb...
zaidi ya watu 200 walifariki
more than 2000 aftershock

naelewa ni kitu gani mnapitia..
Poleni sana...
 
Back
Top Bottom