5 3=4

Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.

He can take half of a 3lt bucket which's 1.5lts and a half of a 5lt bucket which's 2.5lts,the add the two half filled buckets together to get 4
ie 1.5+2.5=4.0
 
Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.

tulet ndoo yenye lita 5 ni x na yenye lita 3 ni y.
Ajaze X amimine kwenye y.
Zitabaki 2L kwenye X na zile 3L kwenye Y azimwage.
Achukue zile 2L za kwenye X amiminie kwenye Y. X itabaki tupu, aijaze tena maji (itakuwa na 5L akishajaza).
Since kwenye Y kulikuwa na zile 2L aongeze maji kwenye Y yaani(2L+1L=3L) baada ya kujazia y, X itabaki 4L yaani(5L-1L=4L)
 
Hapo ajaze ndo ya 5L kisha amimine kwenye ya 3L ivo kweny ya 5l zitabaki 2L kisha achole alama katika ile ndn ya 5lt ambapo zinaishia 2ltr kisha anaanza zoez la kupima 2ltr
 
ingawa bado sipati mantiki ya kuweka hii chemsha bongo ya hisabati huku kwenye jokes and udaku, you made my fool day
 
chukua lita 3 mimina kwenye lita 5,then chukua lita 3 ya maji mimina kwenye 5 itabaki lita 1,mwaga zile 5 zilizojaa ile 1 ilobaki weka kwenye 5 then chota 3 jaza kwenye 5 jumla utapata lita 4
 
tulet ndoo yenye lita 5 ni x na yenye lita 3 ni y.
Ajaze X amimine kwenye y.
Zitabaki 2L kwenye X na zile 3L kwenye Y azimwage.
Achukue zile 2L za kwenye X amiminie kwenye Y. X itabaki tupu, aijaze tena maji (itakuwa na 5L akishajaza).
Since kwenye Y kulikuwa na zile 2L aongeze maji kwenye Y yaani(2L+1L=3L) baada ya kujazia y, X itabaki 4L yaani(5L-1L=4L)

Nikusoma.
 
Jaquarpaw umenifurahisha sana kwa kuleta changamoto, umetudhihirishia kwamba kazi ya kufikiri sio rahisi ndio maana wanaojihushisha nayo ni wachache, wana JF wamekuwa maneno mengi. Kama una vitu vya namna tunaomba uendelee kuturushia, kweli vinafunza, kukosa jibu la ndg Matambo kuna wajumbe wangeshalisema haiwezekani.
 
Ningependekeza vitu kama hivi viwekwe jukwaa la elimu!
 
wakuu(gurta na katavi),maoni yenu nimeyapata.Ila nikicheki hizi puzzle,quizzes na riddles,ndio hazi fit sana upande wa jokes na gossip ila zinafaa sana kuchemsha bongo na zipo zaidi for having with each other.mi naona ni bora ziendelee kuwepo huku labda uongozi ukitufikiria,hizi riddles,quizzes na puzzles zipewe ukurasa pekee.
 
ila mkuu mi naona kwa temporary jukwaa la elimu ndio kunafaa maana hata ukilinganisha kwa haraka haraka watu wachache huwa wanaingia jukwaa la elimu hivyo inakuwa rahisi kuiona kule kuliko huku unaweza post ila tusi ione maana viewers wengi humu jukwaa la jokes, ila huu ni mtazamo wangu tu, tusikilize ya wengine
 
Poa wakuu,nazihamishia jukwaa la elimu rasmi,tukutane kwenye jokes na gossips kama kawa.
 
Zilikuwa poa tu lakini. Sababu hata ukishindwa jibu, anayejibu anakusaidia kujifunza, unajua hata jokes zinahitaji thinking, na chemsha bongo hizi zinachaji ubongo ufanye thinking......anyway!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom