5 3=4

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.
 
Jaza ndoo ya lita tano kisha mimina kwenye lita 3 , utabakiwa na lita 2 kwenye ile ndoo ya lita 5, halafu mwaga yale maji yaliyoko kwenye ndoo ya lita 3, then chukua zile lita 2 mimina kwenye ndoo ya lia 3
kisha chukua ndoo ya lita 5 jaza maji, then mimina lita moja kwenye ile ndoo ya lita 3 ambayo ina lita 2, kwa kufanya hivyo ile ndoo ya lita 5 itabakiwa na lita 4 anazohitaji
 
Au
Chukua ndoo ya 3L jaza maji mimina kwenye 5L, Jaza maji mingine kwenye 3L mimina tena kwenye 5L; (kumbuka kulikua na 3L tayari) kwa hiyo utaongezea 2L tu na kubaki 1L. Mwaga maji ya 5L, mimina 1L iliobaki toka ndoo ya 3L kwa ndoo ya 5L baadae jaza maji kwenye 3L mimina kwenye ndoo ya 5L ambayo ina 1L (1L+3L=4L)
 
Technic pekee niliyokua nikiijua ni hii ya dejavu,thanx matambo kwa technic mpya!
 
Au
Chukua ndoo ya 3L jaza maji mimina kwenye 5L, Jaza maji mingine kwenye 3L mimina tena kwenye 5L; (kumbuka kulikua na 3L tayari) kwa hiyo utaongezea 2L tu na kubaki 1L. Mwaga maji ya 5L, mimina 1L iliobaki toka ndoo ya 3L kwa ndoo ya 5L baadae jaza maji kwenye 3L mimina kwenye ndoo ya 5L ambayo ina 1L (1L+3L=4L)

nimeipenda hii, fupi na rahisi kuelewa. Thanx wakuu. Ningeomba muendelee kutufunza
 
aah! Simple. Atafute zile chupa tupu za maji ya uhai za lita moja, apime mara nne kwenye ndoo ya lita tano, atapata hizo lita nne anazotaka.
 
ndiyo chupa hamna, yupo yy na ndoo zake na kata lake tu. pia msaada wa kupata lita nne mbona ashaupata.
 
Huyo mtoto asisumbuwe watu, lita 4 za maji alitumwa na nani? Mie nilimtuma ajaze ndoo zote mbili afikishe nyumbani. Nani aliemwabia aanze mchezo wa kutoa huku kumimina huku, hajui kama tuna shida ya maji? Pambaf!
 
aka hiyo dhambi ya kumwaga maji masafi wakati ndugu zetu wanatembea makilometa mengi kuyatafuta hayo maji mie akaaaaaaaaa!
 
  • Thanks
Reactions: RR
Huyo mtoto asisumbuwe watu, lita 4 za maji alitumwa na nani? Mie nilimtuma ajaze ndoo zote mbili afikishe nyumbani. Nani aliemwabia aanze mchezo wa kutoa huku kumimina huku, hajui kama tuna shida ya maji? Pambaf!

mKUU UMENIVUNJA MBAVU! You made ma day!
 
Huyo mtoto asisumbuwe watu, lita 4 za maji alitumwa na nani? Mie nilimtuma ajaze ndoo zote mbili afikishe nyumbani. Nani aliemwabia aanze mchezo wa kutoa huku kumimina huku, hajui kama tuna shida ya maji? Pambaf!
ni uvivu wa kufikiri tu lakini umeelimika, chukua hiyo
 
Huyo mtoto asisumbuwe watu, lita 4 za maji alitumwa na nani? Mie nilimtuma ajaze ndoo zote mbili afikishe nyumbani. Nani aliemwabia aanze mchezo wa kutoa huku kumimina huku, hajui kama tuna shida ya maji? Pambaf!
Najuuuutah... kusoma hii post sababu hapa mbavu sina kabisa vimebaki vipande-vipande tu.. oouuuphhh... labda nimeongeza cku za kuishi Thanx..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom