4g internet

Smile zidhani kama wanatoa huduma ya simu though, hata SIM card sina uhakika kama wanatoa. So haiwekeki kwenye simu hiyo 4G yao, pia nina wasiwasi kama spidi unayopata ni actually 4G, ni kama kuunga bomba kubwa nyumbani kisha kupitisha matone ya maji.
 
mtandao wa smile..

25tyiig.jpg
 
Hakuna Haja ya kuhamia 4G wakati hiyo 3G yenyewe bado hatujatumia katika kiwango chake cha juu, 3G amapo huenda mpaka 3.75G inaweza kutoa hadi 28Mbps sawa na 3.5MBps kwa kudownload na 22Mbps sawa na 2.75MBos kwa ku upload, kwa speef hiyo hatuna haja ya kutafuta hizo 4G,
Binafsi sijawahi tumia service za smile ila kwa taarifa tika kwa wanajamii walio tumia eg. leh , speed ni nzuri lakini haina hadhi ya 4G LTE

Sent from my GT-I9505 using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
Ki uhalisia hakuna 3.75G. Hiyo 3G tuuu. Ila smile wanayo 4G Lte. Na wanatumia simcard katika modem na router zao.

Hawa smile niliona chat ya garama za bando zao aisee nilichoka sana
 
Ki uhalisia hakuna 3.75G. Hiyo 3G tuuu. Ila smile wanayo 4G Lte. Na wanatumia simcard katika modem na router zao.

3g ni wcdma ni umnts
3.5g ni hspa
3.75g ni hspa+

voda tigo na airtel wote wanayo hspa+ ila speed yake unaweza pasua simu bora hspa (3.5)
 
Hakuna Haja ya kuhamia 4G wakati hiyo 3G yenyewe bado hatujatumia katika kiwango chake cha juu, 3G amapo huenda mpaka 3.75G inaweza kutoa hadi 28Mbps sawa na 3.5MBps kwa kudownload na 22Mbps sawa na 2.75MBos kwa ku upload, kwa speef hiyo hatuna haja ya kutafuta hizo 4G,
Binafsi sijawahi tumia service za smile ila kwa taarifa tika kwa wanajamii walio tumia eg. leh , speed ni nzuri lakini haina hadhi ya 4G LTE

Sent from my GT-I9505 using Tapatalk

Kuna haja ya kuhamia 4g as soon as possible, and one thing for sure ni kuwa the move to 4g and 4g LTE will happen faster than how the move from 2g to 3g did. Upo sawa kuwa hatujatumia 3g speeds to the fullest but those are theoretical speeds in a perfect setting but as long as kuna other users lazima bandwidth iwe shared.

Hata providers will want to move to 4g as fast as they can sababu running and maintaining a 4g&/LTE network is cheaper than current infrastructure but let's just be prepared for prices hike sababu they will surely want to make the most money by using even less money than they use now. The only challenge ni kuwa hamna universal bands za 4g&/LTE as it used to be with 3g so we may in the end settle for DC-HSPA+ because it somehow utilizes existing infrastructure as well.

And from my experience with Smile na other 4g LTE networks, once you go to those speeds you surely do not want to go back to 3g.
 
Smile zidhani kama wanatoa huduma ya simu though, hata SIM card sina uhakika kama wanatoa. So haiwekeki kwenye simu hiyo 4G yao, pia nina wasiwasi kama spidi unayopata ni actually 4G, ni kama kuunga bomba kubwa nyumbani kisha kupitisha matone ya maji.

Mi natumia Smile and I can vouch for their speeds by comparing them to other 4g networks and even performing speed tests, in most cases it outperforms even big networks with 4g LTE but nadhani ni sababu haijawa na watumiaji wengi but as of now, it is the best "cellular" provider I've used ukiondoa wifi providers.
 
smile ina speed ya ukweli ila bei zao zimechangamka pia. Ukicheza 10 gb inaisha ndani ya masaa machache. n.b. Lazima u block windows update, etc else umeumia.
 
Hakuna Haja ya kuhamia 4G wakati hiyo 3G yenyewe bado hatujatumia katika kiwango chake cha juu, 3G amapo huenda mpaka 3.75G inaweza kutoa hadi 28Mbps sawa na 3.5MBps kwa kudownload na 22Mbps sawa na 2.75MBos kwa ku upload, kwa speef hiyo hatuna haja ya kutafuta hizo 4G,
Binafsi sijawahi tumia service za smile ila kwa taarifa tika kwa wanajamii walio tumia eg. leh , speed ni nzuri lakini haina hadhi ya 4G LTE

Sent from my GT-I9505 using Tapatalk

mkuu, we have the same idea
 
Last edited by a moderator:
Bongo 4G ipo isipokua gharama zake ndo pasua kichwa, so ISP wanachofanya ni kubana speed. Ila hapa atleast kuna kautamu utamu, check attachment. :ranger:
 
Attachments

  • 20140201_183950z.jpg
    20140201_183950z.jpg
    313.1 KB · Views: 100
Bongo 4G ipo isipokua gharama zake ndo pasua kichwa, so ISP wanachofanya ni kubana speed. Ila hapa atleast kuna kautamu utamu, check attachment. :ranger:
.
JamiiForums Message
Invalid Attachment specified. The
account might have been REMOVED
by Administrators or MERGED into
another account. If you think this is
wrong, please notify the
administrator
.
 
Currently, South Korea is working on 5G NETWORK Project. Will be launched on 2020.

It is said that, 5G NETWORK will be 1000 times faster than 4G LTE.

So let's wait and See. Technology inatukimbiza kweli kwei.
 
Smile wanatoa 4G LTE sema kwa price ambazo wabongo wengi watatoa machozi.... Vodacom nao walitest 4G network toka mwaka jana mwanzoni kabisa sijui waliishia wapi au kama walilimit sehemu... Nway tumsubiri mchina Fibre optics tuone
 
3g ni wcdma ni umnts
3.5g ni hspa
3.75g ni hspa+

voda tigo na airtel wote wanayo hspa+ ila speed yake unaweza pasua simu bora hspa (3.5)

sure.nashindwa kuelewa kwann mtandao kama tigo wanadeclare kuwa na 3G network wakati speed ni ya 2.5(GPRS).hata ukiangalia access points zao( kwenye cmu yako) naona APN ni tigo gprs.
however kama tatizo ni budget sidhani kama wataemplement 4G soon coz installation cost yake ni kubwa sana.kwa africa ni jiji moja tu la lagos ndo lenye 4G wakati majiji makubwa kama brusels la ubeligiji halina 4G.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom