4G internet access ipo Tz?

4G ipo bongo..tatizo device nyingi zina-support mwisho 3G
Nikiwa posta na baadhi ya sehemu hapa dar bb yangu
9900 huwa inaandika 4G na speed yake balaa(natumia tigo bb internet service)

Duh, mkuu acha kamba bana., Blackberry bold 9900 it's only a 3.5G device, So haisapoti 4G network. I'm sorry but I guess the rest of your maelezo are illegitimate:bange:
 
Huawei e220 ina uwezo wa 3.7g? Cause sijawahi kupata 7.2mbps connection yet kwenye one site inasema its capable. Nipo karibu na mlimani city na nimeiflash kutmia Zantel.

images
 
Huawei e220 ina uwezo wa 3.7g? Cause sijawahi kupata 7.2mbps connection yet kwenye one site inasema its capable. Nipo karibu na mlimani city na nimeiflash kutmia Zantel.

images

Ili upate 7.2 mbps lazma mtandao uwe unaprovide hivo kwa bongo speed za mitandao mingi ni 1mbps hadi 2mbps labda uvizie usiku sanaaaa ndo unaweza ukaifaidi hiyo 7mbps
 
Ili upate 7.2 mbps lazma mtandao uwe unaprovide hivo kwa bongo speed za mitandao mingi ni 1mbps hadi 2mbps labda uvizie usiku sanaaaa ndo unaweza ukaifaidi hiyo 7mbps
nina uwezo wa 3MB/s ila sisemi natumia mtandao upi :madgrin:
5bwm06.png
 
leh hapo unatudanganya labda kama unatumia wireless, tell me unatumia modem gani na onesha dashboard. Maana 2mbps ni inataka modem yenye 21mbps na tz niliskia ni zantel tu tena zanzibar na sidhan kama zimeanza tumika
 
Tigo 3G network wakati wa kudownload imefika mbali ni 68kb/s tena itokezee tu haina guarantee, lakini speed ya kawaida ya 3G ni 14kb/s sasa sijui kama kule duniani hii inaitwa 3G speed ama ni ka EDGE tu
 
Katika mitandao ninayoiheshimu kwa speed ni tigo sema watanzania ni wavivu kusoma terms na condition

Watu wengi wanatumia light bundles kama megabox, extreme pack na light day hizi ni bundles za speed ndogo na wenyewe wanasema mara nyingi speed ni chini ya kumi ikizidi ni hiyo 20,

Then kuna bundles za standard hizi zinarange 30 hadi 100 kbps na price inaongezeka

Zipo max zina speed kubwa na bei kubwa vile vile wanatoa 3g ya ukweli more than 200kbps download speed. Zote hizi bundles nisha zi experience mwenyewe. So kama unataka speed kubwa nunua max.

Then pia kuna kitu unote tigo wana internet ya simu na pc. Mfano light week ya simu ni 4500 na ya pc ni 7500 net ya pc inaunganishwa na dashboard zao. Maybe unaunga ya ya simu then unatumia kwa pc thats why.

Kwa maelezo zaidi nenda website yao tigo.co.tz
 
Back
Top Bottom