45 Shiite pilgrims killed in twin suicide bombings in Iraq's Karbala

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
BAGHDAD, Jan. 20 (Xinhua) -- Forty-five Shiite pilgrims were killed and 110 others were wounded in two suicide bomb attacks in the holy Shiite city of Karbala, south of Baghdad on Thursday, an Interior Ministry source said.

The attack took place in the afternoon when one of the suicide bombers blew himself up among a procession of Shiite pilgrims on the northern entrance of the city of Karbala, the source told Xinhua on condition of anonymity.

Minutes later, another suicide bomber blew himself up among a group of pilgrims in the southern entrance of the city, the source said.

"A total of 45 people were killed and 110 others were wounded by the two blasts," the source added.

Earlier in the day, two Shiite pilgrims were killed and 17 others wounded in two bomb attacks in Baghdad and Iraq's eastern province of Diyala, a provincial police source told Xinhua on condition of anonymity.

The pilgrims were walking on a main road on their way to the holy shrine city of Karbala, some 110 km southwest of Baghdad when the attack took place, the source said.

The attacks against Shiite pilgrims came as tens of thousands of them were marching from different Iraqi provinces to the holy shrine of Imam Hussein in Karbala to commemorate the major ritual of Arbaeen slated for Sunday.

Arbaeen is the end of 40 days of mourning for the Imam Hussein, the Prophet Muhammad's grandson, who was killed at the battle of Karbala in 680 A.D.

Insurgents frequently attacked Shiite pilgrims who perform communal rituals in the Iraqi cities, killing and wounding dozens of them in attempts to provoke sectarian strife in the violence- shattered country.

Violence and sporadic high-profile bomb attacks continue in the Iraqi cities despite the dramatic decrease of violence over the last three years.

45 Shiite pilgrims killed in twin suicide bombings in Iraq's Karbala
 
LINI MTAACHA KUUA KWA SABABU YA DINI ENYI WATU DINI.......mkiacha kuuana tu ....I WILL BE NUMBER ONE TO JOIN YOU
 
Well, I think by now, each of the Forty-five killed Shiite pilgrims, are enjoying the so called 72 demonic arabic virgins from allah. Allah knows best.
 
Well, I think by now, each of the Forty-five killed Shiite pilgrims, are enjoying the so called 72 demonic arabic virgins from allah. Allah knows best.
Wengine kwenye biblia wameahidiwa kupata wake 100!
 
Hii ni imani ya ajabu sana! Mimi nafikiri wamepagawa na mapepo, na kwa kuwa wao kuwa na majini sio shida! Tumwombe Mungu...hawa ndugu zetu watz wasije nao wakapagawa...wakaanza kujipulia!!! Maana maneno wanayoyasema, haashirii mema kabisa! Nilitegemea MKUU wa nchi akemee watu kama hao...maana wanahatarisha amani ya nchi!! lakini naona kimyaaaa!!!
 
Mkuun hii sio habari ya kufikirika hata kidogo, Ndio Ukweli wenyewe na hauna ubishi kuwa wamepagawa na Mapepo.
Unategemea wasipagawe vipi na mapepo wakati mwanzilishi wa hii deen alikua amepagawa na Mapepo na Kulogwa?
Hawa ni wa kuwahurumia sana, Ndio maana wanafanya mambo ya Kishetani shetani tu kila wakati kwa sababu ya mapepo na majini waliyonayo.
 
Hii mijitu khasara tupu,

mijitu kina nani..? hii ni politics! initiated na marekani baada ya kumyonga SADAM, mbona TANZANIA kuna Sunni na SHIA na hatupigani na kuwaana, maeneoa upanga karibu na daraja la sarender kuna shule ya mashia naitwa AL-MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY, ina wanafunzi wa dhehebu la shia na Sunni! hakuna ugomvi na sijawahi kusikia ugomvi , aghan mzizima shule ya Ismailia ina wanafunzi wa madhehebu yoote shia, sunni & ismaili.. kinachotekea Iraq , pakistan ni politics. it has nothin to wit islamic teachings

kwani anayoyafanya joseph koni na kundi lake la Lord's Resistance Army (LRA) does it have anything to with teachings in Christianity ? ni politics tu thats all

Think Big!!
 
Ni kweli wanahitaji kuhurumiwa na kuombewa! Na Mungu awahurumie wakaione NURU kwenye maisha yao! Heri wangekubali kumwamini MFALME WA AMANI... wangepata amani kwenye maisha yao na kwenye nchi zao!
 
Wengine kwenye biblia wameahidiwa kupata wake 100!
acha hizo BIBLIA haijaahidi wake at the end of the day, ila ni kusifu na kuabudu to infinity. nadhani umesema kwa kuwa kitabu hic ho hujakisoma na kama umesoma basi ilikuwa kinyumenyume chake.
 
acha hizo BIBLIA haijaahidi wake at the end of the day, ila ni kusifu na kuabudu to infinity. nadhani umesema kwa kuwa kitabu hic ho hujakisoma na kama umesoma basi ilikuwa kinyumenyume chake.
Pole sana, kwa kuwa wewe si msomaji wa biblia, wacha wasomaji wakuelimishe, ndio maana magwiji wenu hawajapinga ili.

Karibu sana mkuu kwenye ulimwengu wa mijadala.
 
mijitu kina nani..? hii ni politics! initiated na marekani baada ya kumyonga SADAM, mbona TANZANIA kuna Sunni na SHIA na hatupigani na kuwaana, maeneoa upanga karibu na daraja la sarender kuna shule ya mashia naitwa AL-MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY, ina wanafunzi wa dhehebu la shia na Sunni! hakuna ugomvi na sijawahi kusikia ugomvi , aghan mzizima shule ya Ismailia ina wanafunzi wa madhehebu yoote shia, sunni & ismaili.. kinachotekea Iraq , pakistan ni politics. it has nothin to wit islamic teachings

kwani anayoyafanya joseph koni na kundi lake la Lord's Resistance Army (LRA) does it have anything to with teachings in Christianity ? ni politics tu thats all

Think Big!!

Njiwa, are you sure?

Let us see who hang Sadam Whosain:

YouTube - Saddam Hussain
 
Back
Top Bottom