400 wajiunga na chadema

Alipo apishwa jk alisema; 'jamani mambo ya kampeni sasa yameisha, tusahau yaliyopita tufanye kazi' akifikiri cdm watatulia. Dah kumbe ndo kwanza hata mimi nisiefahamika ndio naingia cdm rasmi tena kwa hasira kali kama radi.
 
Kinyau nyau kikia cha pweza!!!
mwataka mambo hamtayaweza!!!
Ooh wacha wacha waseme!
Watasema mchana eeh, usiku watalala

ooh kinyau nyau kikia cha pweza,
cha chang chang!!!
ccm kwishnehi, mbende mbende!!!
 
Back
Top Bottom