4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,372
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
 
mamy inategemea kakuslap wakati gani,mkiwa kwenye malove davi zen kisses zitakuwa nyingi ntampa,ikiwa mbele ya watu duh kaniaibisha lkn siwezi mrudishia bali ntamwambia kwa upole"mpz naomba nikikukosea tena usinipige mbele ya watu,naomba niite pembeni na uniambie kosa langu,najua mm ni binadam na wala si malaika,nisamehe kwa nilokukosea leo na sitarudia tena,nami nimekusamehe kwa kunipiga mbele ya watu,I love u dear,mwaah".:tonguez:
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu
 
hahahaha unatakiwa ukatoe semina za ndoa mrembo una maadili sana
 
kwa kweli mie haya mambo ya kulabuana nayachukia sana, cku atakayojaribu ndio nitajua anastahili adhabu gani...
 
Mimi nafikiri reaction yake is unplanned kwangu, nahisi kama nitaijua baada ya tukio. Ila nahisi ya haraka haraka ni kurusha kitu halafu majuto baadaye, manake kibao cha utu uzimani!
 
Mie pia nadhani tukio likitokea ndi najua nafanya nini i see mambo ya kupigana makofi wapi na wapi
 
kwa kweli mie haya mambo ya kulabuana nayachukia sana, cku atakayojaribu ndio nitajua anastahili adhabu gani...

Mie nawaza kwa nini anipige kibao wakati tunaweza kukaa chini na kuongea??
 
Mimi nafikiri reaction yake is unplanned kwangu, nahisi kama nitaijua baada ya tukio. Ila nahisi ya haraka haraka ni kurusha kitu halafu majuto baadaye, manake kibao cha utu uzimani!

umeona Dina eeehh, halafu kwanini anilabue jamni, anashndwa kabisa kunirekebisha mpaka yafikie huko, nina sis wangu mtoto wa mama mkubwa, jamani mpaka unashindwa kujua kama ana akili timamu au mapepo, mume wake kumlabua mbele za watu au hata nyumbani ni kumtwanga 2 na mdada bado yupo tu, majuzi alimtwanga mpaka mdada alilazwa mume kakimbia akijua labda ameharibu mazima, kapona karudi kwa mumewe khaaa mie namuanaga kama dada kachanganyikiwa kabisa.
 
mamy inategemea kakuslap wakati gani,mkiwa kwenye malove davi zen kisses zitakuwa nyingi ntampa,ikiwa mbele ya watu duh kaniaibisha lkn siwezi mrudishia bali ntamwambia kwa upole"mpz naomba nikikukosea tena usinipige mbele ya watu,naomba niite pembeni na uniambie kosa langu,najua mm ni binadam na wala si malaika,nisamehe kwa nilokukosea leo na sitarudia tena,nami nimekusamehe kwa kunipiga mbele ya watu,I love u dear,mwaah".:tonguez:

Pearl love is on the air :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
FL1 ushaharibu unategemea slap nini?? Isije ukawa umekunywa ile grants iliyoachwa kabatini jana....
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu

FL1 Mimi huwa naona wengi wanakimbilia hapo kwenye RED
 
Mwenyekiti habari za asubuhi jana umekesha zero pub? mbona umechelewa?

Mkuu kwanza hebu niondolee cheo cha pope kaizer...si unajua sistahili hata kufungua gidamu zake??:hand:...am only a secretary general....:ranger:...
Jana (infact nimetoka pale leo alfajiri) bana dah.....sijui jioni itafika saa ngapi..sorry off topic!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom