Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3G ama 2G nitajuaje?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sayicom, Mar 18, 2012.

  1. s

    sayicom Member

    #1
    Mar 18, 2012
    Joined: Jul 2, 2011
    Messages: 68
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Jamani nitajua vipi simu yangu inatumia 3G au 2G kwenye Network nifahamisheni!!!!!!
     
  2. utakuja

    utakuja JF-Expert Member

    #2
    Mar 18, 2012
    Joined: Sep 20, 2010
    Messages: 736
    Likes Received: 293
    Trophy Points: 80
    Pembeni ya signal bar inaandika G-gprs, E-edge au 3G H-hsdpa
     
  3. Njowepo

    Njowepo JF-Expert Member

    #3
    Mar 18, 2012
    Joined: Feb 26, 2008
    Messages: 9,160
    Likes Received: 289
    Trophy Points: 180
    kuna mtu alinambia 2g ndo Edge
     
  4. utakuja

    utakuja JF-Expert Member

    #4
    Mar 18, 2012
    Joined: Sep 20, 2010
    Messages: 736
    Likes Received: 293
    Trophy Points: 80
    Ndio 2G networks ni gprs na edge ..3G ni hspda, hsdpa, hspa + ...4g ni Lte unaeza usome zaidi Wikipedia
     
  5. Chief-Mkwawa

    Chief-Mkwawa Platinum Member

    #5
    Mar 18, 2012
    Joined: May 25, 2011
    Messages: 13,944
    Likes Received: 2,775
    Trophy Points: 280
    Andika google aina ya simu mfano nokia 6300 result ya kwanza itakua gsm arena then utaona specification za simu yako
     
  6. s

    sayicom Member

    #6
    Mar 18, 2012
    Joined: Jul 2, 2011
    Messages: 68
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    nimeelewa kaka vipi kama utatumia modem ya AIRTEL kwa laptop hapo utakuwa unatumia 3G au 2G ? Na kama upo Dodoma
     
  7. mpinga shetani

    mpinga shetani JF-Expert Member

    #7
    Mar 18, 2012
    Joined: Nov 22, 2010
    Messages: 3,253
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 135
    kwa hapa Tanzania wala hakuna tofauti, ni majina tu. ila ukiwa ulaya, au South Africa 3g huwa na spidi zaidi.
    3.7g ya airtel ni kanyaboya!
     
  8. utakuja

    utakuja JF-Expert Member

    #8
    Mar 18, 2012
    Joined: Sep 20, 2010
    Messages: 736
    Likes Received: 293
    Trophy Points: 80
    Kama ni laptop ile software ya ku connect /dashboard mkono wakushoto chini inaandika pia tena kama kawaida 2g-Gprs, edge. 3G -wcdma, Hsdpa ..nauhakika dodoma speed za 3G zipo
     
  9. King Kong III

    King Kong III JF-Expert Member

    #9
    Mar 18, 2012
    Joined: Oct 15, 2010
    Messages: 24,039
    Likes Received: 546
    Trophy Points: 280
    2G(GPRS),2.5G(EDGE),3G,WCDMA etc Ni Mobile Technology!!! Naungana na mdau kwa bongo ni kudanganya watu tu,we ushawahi ona wapi unajiunga na 3.75G kwa kusubscribe??? Je hyo simu ipo capable kwa hyo tech?
     
  10. utakuja

    utakuja JF-Expert Member

    #10
    Mar 18, 2012
    Joined: Sep 20, 2010
    Messages: 736
    Likes Received: 293
    Trophy Points: 80
    3.75 G si HSUPA Ambayo kuna high speed ya kuupload data kama sijakosea
     
  11. Donnie Charlie

    Donnie Charlie JF-Expert Member

    #11
    Mar 18, 2012
    Joined: Sep 16, 2009
    Messages: 5,934
    Likes Received: 130
    Trophy Points: 160
Loading...