RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,833
Jana nilikuwa naangalia mechi kati MAN UTD na MAN CITY kwenye 3D TV CHANNEL, kwa kweli nilichokiona hakikunishawishi kununua 3D TV once zikianza kuuzwa madukani.
Sikuona tofauti kubwa sana na normal channel (zilikuwa zinaonyeshwa sambamba) zaidi ya clarity ambayo unaweza kuipata ukitumia HD CHANNEL.
Je wenzangu ambao mmeona 3D TV mmeionaje?