3D Animation kali yaki bongo

quality ya ukweli ni kazi nzuri sana na nyingine ambazo nimeziona kweny webisite yenu pia ni nzuri hata sauti pia hongera sana...
 
For beginners,or if ur interested in 3d animations u may try downloading ths baby called Anim8or,its low in size(less than 2mbs i think),easy 2 use but makes powerfull animations utaipata kwenye hii link Anim8or Free 3D Animation Software pia utapata na sample zilizotengenezwa na hiyo tool. Aise animation z hard n time consuming,esp modeling! Nna stock of animations i made (2d n 3d) kwenye pc ntashare nanyi l8r
 
Asante saizi na tengeneza matangazo, documentaries na video za muziki. Na kuna filamu ipo jikona
 
Kuna aina mbili za animation 2D na 3D, so na software inategemea na aina ya animation. software za 2D ni kama flash,toonboom,na anime studio.
Software za 3D kuna Maya,3D max,Cinema4D,Houdini,Softimage xsi, blender na nyingine nyingi.

Uzuri wa software inatofautiana na kila mtu what matters ni good result.
Kuna software kama blender, ni open source na ni bure lakini unaweza uka pata result kama ya Maya amboyo ni very expensive.

Kazi hii imefaniyika kwenye Cinema4D,3d max na aftereffects

Thanks


Kama seriously upo interest na hizo program na unaweza fanya kazi me nnazo: Maya2011, 3D max'09, blender, CS5 & other related. so like it then niinbox humu JF 2jue niaJE!!!
 
Back
Top Bottom