37 Minutes near bonde la msimbazi

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
hayo ndo mambo ya facebook. merry christmas and happy new year. ova
 
Dubu nahisi watuyeyusha.... kweli kabisa wamesema "menutes"?

Thank you, Merry X-mas to you too....
 
Mbona mi sijaelewa wajameni?? Ok, Merry Christmass!

Now nimemwelewa. Kuna facebook kuna ile namna yao ya kuandika status ilipostiwa saa ngapi, wapi kwa njia gani? Umenisoma?

Just now near Chumbani Kwangu.
Via Blakiberi ya tochi
 
Now nimemwelewa. Kuna facebook kuna ile namna yao ya kuandika status ilipostiwa saa ngapi, wapi kwa njia gani? Umenisoma?

Just now near Chumbani Kwangu.
Via Blakiberi ya tochi

alaaa.......kumbee!!! Hahah umesomeka ndugu. Mie mambo ya facebook nayajua basi?? Asante kwa kunielewesha mkuu!! Lol
 
hii balaa kweli nilikuwa natafuta umeweka wapi picha kumbe ndio kama vile

via JamiiForums Mobile
 
Back
Top Bottom